Ulishawahi ona wapi walevi hawachomi nyama .hakuna watu wanakula vizuri kama wanywa biaMlevi hana roho nzuri anaweza kumnunulia mtu pombe za elf 30, lakini mtuhuyo anaemnunulia akisema ananjaa amnunulie ugali wa buku hapati na ofa ya pombe inaishia hapo na anaweza kuhama bar pia.
Anyway,mipia na piga vyombo lakini roho yangu sio nzuri wala mbaya.
Ni kwa sababu nyinyi msiokua walevi, mnahangaika sana kuonyesha sisi ni watu wa hovyo!Mbona walevi mnahangaika sana kuonesha mko vizuri? Acheni kujishtukia kunyweni pombe zenu salama.
kwa akili ya hivo hata huyo mnywa soda hajengi,kuna ambao hawanywi bia lakini wanahonga ,anayekunywa elfu 10,000 na anayehonga Malaya 50,000 Nani afadhaliNaunga mkono hoja, na ndio wanaongoza kusema bia moja ni sawa na tofali mbiliπππ
View attachment 2076522
[emoji23][emoji23][emoji23] mwili sio wakutolewa hovyo, vingine vyote vya kibinadamu unaweza kupata msaada ila sio mbususuKama una roho nzuri kweli nitunuku tunda basi nina kipururu mbayaa.
Ulishawahi ona wapi walevi hawachomi nyama .hakuna watu wanakula vizuri kama wanywa bia
Hapo ndio unakosea. Ukiwa na million moja ukanipa laki zinabaki laki tisa ila ukinipa tunda still unabaki nalo hivyo hivyo wala sipunguzi kitu.[emoji23][emoji23][emoji23] mwili sio wakutolewa hovyo, vingine vyote vya kibinadamu unaweza kupata msaada ila sio mbususu
[emoji23][emoji23][emoji23] mwili sio wakutolewa hovyo, vingine vyote vya kibinadamu unaweza kupata msaada ila sio mbususu
You never know boss, maana ni good inspirational speakers over wanywajikwa akili ya hivo hata huyo mnywa soda hajengi,kuna ambao hawanywi bia lakini wanahonga ,anayekunywa elfu 10,000 na anayehonga Malaya 50,000 Nani afadhali
Kwa hiyo ndugu shahidi message unayotaka kutuma hapa ni kwamba mazingira hayawezi kubadilisha roho ya mtu kutoka roho mbaya kwenda roho nzuri au kutoka roho nzuri kwenda roho mbaya?Mimi sinywi bia ila na roho nzuri tu, roho nzuri huzaliwa nayo mtu regardless ya kunywa au kutokunywa,
Kweli aiseePombe ni mbaya ila kwakweli wanaosiokunywa wananishangaza kwa kupenda majungu na umbea mwingi.
Ila sasa wasiokunywa pombe wengi wao ni wazinzi sana.
Wewe bar unakwenda kula ugali au kupiga vyombo?Mlevi hana roho nzuri anaweza kumnunulia mtu pombe za elf 30, lakini mtuhuyo anaemnunulia akisema ananjaa amnunulie ugali wa buku hapati na ofa ya pombe inaishia hapo na anaweza kuhama bar pia.
Anyway,mipia na piga vyombo lakini roho yangu sio nzuri wala mbaya.
Wewe bar unakwenda kula ugali au kupiga vyombo?
Mpk Sasa walevi wana 3 wajaza nzi mezani Wana 0