PreGE2025 Ukweli wasioutaka Mafisadi: TEC hawajaoverride madhehebu mengine bali Wanapinga uonevu na ufisadi

PreGE2025 Ukweli wasioutaka Mafisadi: TEC hawajaoverride madhehebu mengine bali Wanapinga uonevu na ufisadi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Hata kwenye Biblia walikuwepo manibii kama Elisha na Eliya walipinga uonevu na ufisadi.

TEC wanapinga utekaji, wizi wa mali za umma na nepotism ya hali juu.

Mfano Dp World kupewa usimamizi wa Bandari bila sababu ili kutengeneza mianya ya upigaji na kuwanufaisha warabu.

Utekaji usio na kikomo. Hadi watu kama akina Chaula wanatekwa.

Nepotism ya hali ya juu mpaka watu wanashangaa.

TEC sio kama madhehebu mengine yanayowaza kupewa posho tu kwenye vikao kama cha leo.

Wana misimamo thabiti .

Kuna ufisadi mkubwa sana hapa nchini unaendelea kufanyika. Ule wa Angela Kiziga ni kama pipi ya Kijiti.

Sijasikia madhehebu mengine na dini zingine zikikemea kama TEC.
 
Halafu hilo neno "override" liko kwenye dikshenari kweli?

Kwamfano nikisema: "Mwigulu kamuoverride Nchimbi", ni sawa?

"Bichwa Komwe kamuoverride Lucas Mashanga"? 🐁

"Mzee wa vibwenye kamuoverride shangazi wa Taifa"? 🍇

Nachoka sana.

Cc: Nyani Ngabu
 
Kama anafikiri anaweza kuwanyamazisha TEC kupitia vichambo na taarab, basi amekosea sana. Hao jamaa hawajawahi kunyamazia maovu ndani ya jamii.
 
Kama anafikiri anaweza kuwanyamazisha TEC kupitia vichambo na taarab, basi amekosea sana. Hao jamaa hawajawahi kunyamazia maovu ndani ya jamii.
Taarabu na wakatoliki wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom