Hata kwenye Biblia walikuwepo manibii kama Elisha na Eliya walipinga uonevu na ufisadi.
TEC wanapinga utekaji, wizi wa mali za umma na nepotism ya hali juu.
Mfano Dp World kupewa usimamizi wa Bandari bila sababu ili kutengeneza mianya ya upigaji na kuwanufaisha warabu.
Utekaji usio na kikomo. Hadi watu kama akina Chaula wanatekwa.
Nepotism ya hali ya juu mpaka watu wanashangaa.
TEC sio kama madhehebu mengine yanayowaza kupewa posho tu kwenye vikao kama cha leo.
Wana misimamo thabiti .
Kuna ufisadi mkubwa sana hapa nchini unaendelea kufanyika. Ule wa Angela Kiziga ni kama pipi ya Kijiti.
Sijasikia madhehebu mengine na dini zingine zikikemea kama TEC.