Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 104
Naaaaaaaam wana jf!
Hivi kwa nini mara nyingi mtu ukimweleza ukweli kuhusu alivyo unaweza kuzua balaa?
Mfano mtu anaweza kuwa kahaba lakini ukimwambia kuwa yeye ni malaya unakosana nae.
Mtu anaweza kuwa mlevi lakini mwambie kuwa yeye ni mlevi, utakosana nae,
mtu utakuta anaiba, lakini mwambie kuwa yeye ni mwizi, mtatoana meno.
hivi hi ni kwa nini? Kwa nini mtu asifurahi akiambiwa ukweli na ikiwezekana ajirekebishe? Hapa kuna nini?
jumapili njema.