ha ha ha watu wamepatikana leo...
Nafikiria tu hiyo report uchwara ingelitamka kinyume ya hivyo, yaani wanaume tukipakia chips kwa sana majamboz yanakuwa shwaa... Haki ya nani tena... majunia ya viazi mbatata yangelitoweka pale Kariakoo kufikia saa 6 mchana, and by the end of next week wakulima wote toka Mbeya wangelishapokea order za msimu ujao!!
Seriously pipo, don't read too much into these kind of scaremonger's researches... kila kitu kwa urafi kina madhara, may be apart from maji (not so sure though). Muhimu ni kula kwa kiwango kwa kuzingatia afya njema.
Yaani watu tunashindwa kujiuliza kitu kimoja tu, viazi vimekuwepo muda gani hapa Tanzania? Na watengeneza chips wameanza lini kufanya hivyo hapa Bongo... Je, takwimu za uzazi zimeathirika vipi na kuwepo kwa chips tofauti na maeneo ambayo yanategemea viazi kama staple food? Je, ni kule kukaanga viazi na kuvifanya chips kunakoharibu au mafuta yanayotumika?
Tunaweza kuhangaika na kufedheheka mioyoni wakati kumbe Ri-research lenyewe lilikuwa based on chips zilizopikwa kwa mafuta ya transformer!!! mweee!!