Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,240
Lundala usiwe na wasi ujumbe naamini umefika.... umegusia nguvu za kiume...lol... wataacha tu...
Haachi mtu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lundala usiwe na wasi ujumbe naamini umefika.... umegusia nguvu za kiume...lol... wataacha tu...
Kwa unyama basi chips tutakula, na mkong'oto kama kawa.
Haachi mtu hapa
yaani ningejua mapema..........
Pia ulaji wa ugali kwa wanawake upunguza nguvu za kike..nimeona hii kupitia kichuguu tv.
Na Matango pia Mkuu,ni muhimu kwa Ustawi wa afya ya KiumeniKm zimepungua tafuna TIKITI MAJI japo vipande 2 kila siku zitarudi zenyewe.
kuanzia leo chipsi adu yangu