Ulaji huu unafaa?

Ulaji huu unafaa?

Hapo calories zake si mchezo, inafaa Kula lakini sio Kwa Kila siku. Hata hivyo Bora hicho Chakula kuliko hizi junk foods za restaurant zetu.....Siku hizi ni Bora ule ugali wako wa Dona.
 
Unapiga shuti kama la Neo maema vil

acha tu , by the way tunapishana nilikukumbuka kuwachabanga hawa chura wa jangwani
Nimepumzika kwanza mpaka akili itulie...
Huko nina muda sijacomment kabisa
Simba inatupa raha kwa sasa ni moto tuu...
Ngoja tusiharibu uzi wa watu.
 
Nimepumzika kwanza mpaka akili itulie...
Huko nina muda sijacomment kabisa
Simba inatupa raha kwa sasa ni moto tuu...
Ngoja tusiharibu uzi wa watu.
leo mnachezea kitu chenye ncha kali.
 
Back
Top Bottom