Debby Christine
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 300
- 307
Mkuu Mungu anakuona na hixho kiapo chako ujue..Sitokula chips tena kamwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mungu anakuona na hixho kiapo chako ujue..Sitokula chips tena kamwe
Nakulaga na mboga za majani. Nishazoea chips na mboga za majani.Kweli best wewe sikio la kufa.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila dawa ni kula na mboga majani badala ya tomato sauce sasa..
Kwakweli tutakufa wengi [emoji134] si kwa utamu wa zege.Chips mayai ilivyo tamu jamani. Acha tufe tu.
teh teh teh😀Mkuu Mungu anakuona na hixho kiapo chako ujue..