tuko wengi mimi nikila chips au nyama ni balaa hadi mume wangu huwa ananisema
Sikukatishi tamaa ila chips ni hatari zaidi maana kuna mafuta mengi yatokanayo na jinsi zinavyokaangwa, na mbaya zaidi unaongeza na chumvi kibao. Basi kama huwezi kuacha tafuta cancelling effect ambayo ni:-
1. Kufanya mazoezi ya kuchoma mafuta (at least utoke jasho kwa muda wa nusu saa).
2. Ule mbogamboga kwa wingi ambazo hazijaunguzwa kurudisha organs zilizoharibika.
3. Ule matunda kwa ajili ya kusaidia kujenga uwezo wa figo, ini na kutoa sumu kwenye ini na figo.
4. Mwisho weka chumvi kwa mbaaaali kwenye vyakula vyako na ujiepushe na vyakula vya mafuta.
Izoee hali hiyo.
mkuu nasikia ulaji wa chumvi unaleta mishipa ya damu kuwa kama bomba la chuma kwa ndani lenye kutu kwa mwili wa mwanadamu , na ndipo flowing ya blood ina kuwa shida , kuna ukweli wowote hapo , i,m not a doctorSikukatishi tamaa ila chips ni hatari zaidi maana kuna mafuta mengi yatokanayo na jinsi zinavyokaangwa, na mbaya zaidi unaongeza na chumvi kibao. Basi kama huwezi kuacha tafuta cancelling effect ambayo ni:-
1. Kufanya mazoezi ya kuchoma mafuta (at least utoke jasho kwa muda wa nusu saa).
2. Ule mbogamboga kwa wingi ambazo hazijaunguzwa kurudisha organs zilizoharibika.
3. Ule matunda kwa ajili ya kusaidia kujenga uwezo wa figo, ini na kutoa sumu kwenye ini na figo.
4. Mwisho weka chumvi kwa mbaaaali kwenye vyakula vyako na ujiepushe na vyakula vya mafuta.
Izoee hali hiyo.
matunda nakula sana na maji huwa nakunywa mengi hasa ya moto, na pia hizo chips si mlaji sana maana naogopa unene nakula mara moja moja tu sema tatizo ni chumvi hata mboga mezani lazima niwe na chumvi pembeni naongezea nataka sana kuacha ila inakuwa ngumu kama mlevi wa pombe vile
mkuu nasikia ulaji wa chumvi unaleta mishipa ya damu kuwa kama bomba la chuma kwa ndani lenye kutu kwa mwili wa mwanadamu , na ndipo flowing ya blood ina kuwa shida , kuna ukweli wowote hapo , i,m not a doctor
duh!! kumbe kuna madhara makubwa ivo. itabidi nijitahid niache kabisa
Habari zenu madaktari wa JF, natumai mmeamka salama kabisa. Tatizo langu ni hivi, nimekua mtumiaji wa chumvi sana yani kila chakula ntachokula basi lazima niongeze chumvi mbichi, mf. ugali na mandondo, kwenye mandondo chumvi ipo ila nachukua nyingine naongezea hapo ndo ntakula..dah.
Eti wakuu nipo hatarini kupata ugonjwa gani?
Maana najitahidi kuacha ila baadae narudia tena. Ntashukuru kwa ushauri wenu wadau woote pamoja sana
Angalizo, tafadhali usitoe lugha ya matusi au kejeli kama hujaelewa thread kausha
Nawasilisha