Murano
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,056
- 1,102
Habari zenu madaktari wa JF, natumai mmeamka salama kabisa. Tatizo langu ni hivi, nimekua mtumiaji wa chumvi sana yani kila chakula ntachokula basi lazima niongeze chumvi mbichi, mf. ugali na mandondo, kwenye mandondo chumvi ipo ila nachukua nyingine naongezea hapo ndo ntakula..dah.
Eti wakuu nipo hatarini kupata ugonjwa gani?
Maana najitahidi kuacha ila baadae narudia tena. Ntashukuru kwa ushauri wenu wadau woote pamoja sana
Angalizo, tafadhali usitoe lugha ya matusi au kejeli kama hujaelewa thread kausha
Nawasilisha