Ulaji Wa Limao Una Madhara?Mimi Nimethibitisha "Limao Ni Sumu!"

Ulaji Wa Limao Una Madhara?Mimi Nimethibitisha "Limao Ni Sumu!"

Sauda

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
860
Reaction score
1,106
Ndio, Mimi Nimethibitisha "Limao Kwangu Ni Sumu."
Nasisitiza "Kwangu Imekuwa Sumu"

Nikitumia Hata Robo Ya Kijiko Cha Maji Ya Limao, Baada Ya Masaa Kadhaa Kichwa Kinanibana Karibia Kufa.
Naombeni Ufafanuzi Wenu, Ni Kwamba Limao Ni Sumu?
 
Jaribu kumwona daktari, inawezekana una matatizo mengine ambayo yanafanya limao likuletee mzio (allergy). Ninachojua limao lina faida lukuki mwilini...
 
huo ni ugonjwa unaitwa ugonjwa kilimao au limao limao
 
Back
Top Bottom