Ulaji Wa Limao Una Madhara?Mimi Nimethibitisha "Limao Ni Sumu!"

Ulaji Wa Limao Una Madhara?Mimi Nimethibitisha "Limao Ni Sumu!"

Ndio, Mimi Nimethibitisha "Limao Kwangu Ni Sumu."
Nasisitiza "Kwangu Imekuwa Sumu"

Nikitumia Hata Robo Ya Kijiko Cha Maji Ya Limao, Baada Ya Masaa Kadhaa Kichwa Kinanibana Karibia Kufa.
Naombeni Ufafanuzi Wenu, Ni Kwamba Limao Ni Sumu?
Toeni Ufafanuzi Wakuu, Nimetoka Kula Ban Dakika Kadhaa Nyuma!
Usiwe unakula na maganda yake, limao sio sumu.
 
Mi asubuhi lazima nigonge limau tatu ,iliyo changanywa na tangawizi kisha nakorogea asali mbichi kijiko kimoja,inakuwa chungu sana lakini ukiizoea unaiona tamu na mbadala wa chai,inakuwa moto hasa.
Hongera. Nami nimeanza tatizo asali. Mimi nagonga ndimu moja, tangawizi na kitunguu swaumu niliyoikwaruzia kwenye maji yakachemka kama dk 20 lisha asali kijiko kikubwa, ila sio kila siku maana uchumi nao. Ni kila baada ya siku moja.
 
pole mukuu...limawo ni tundatiba ya maradhi mengi sana vinginevyo utakuwa na mzio unaopelekea kuwa na matokeo mabaya kwako,vizuri zaidi ukapime mzio maabara na pia usijilazimishe kuendelea kutumia linaweza kukusababishia madhara zaidi
 
Ndio, Mimi Nimethibitisha "Limao Kwangu Ni Sumu."
Nasisitiza "Kwangu Imekuwa Sumu"

Nikitumia Hata Robo Ya Kijiko Cha Maji Ya Limao, Baada Ya Masaa Kadhaa Kichwa Kinanibana Karibia Kufa.
Naombeni Ufafanuzi Wenu, Ni Kwamba Limao Ni Sumu?
Kufa kwanz ili tuthibitishe!
 
Kwa Kawaaida Sumu Inaweza Kukuua Moja Kwa Moja, Au Ikakuua Taratibu.
Hivyo Basi, Limao Kwangu Ni Sumu Inayoua Taratibu.

Mimi ninatumia kila siku nikiamka Asubuhi ninachukuwa kipande kimoja kikubwa cha limao ninakamuwa na kukiweka ndani ya glasi ya maji ya Uvuguvugu na kukoroga vizuri na kunywa mbona hiyo juisi ya limao haija ni dhuru?

What are the benefits of hot lemon water?
Health Benefits of Lemon Water

  • It promotes hydration. According to the Food and Nutrition Board, the dietary reference intake for water is 91 to 125 ounces. ...
  • It's a good source of vitamin C. ...
  • It improves your skin quality. ...
  • It supports weight loss. ...
  • It aids digestion. ...
  • It freshens breath. ...
  • It helps prevent kidney stones

BENEFITS OF LEMON WARM WATER.jpg

:
 
Back
Top Bottom