Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu la swali lako lipo kwa mchangiaji namba 6. Soma coment ya Bishop Hiluka ..Wakuu Nisaidieni Basi Acheni Wehu!
Ndio, Mimi Nimethibitisha "Limao Kwangu Ni Sumu."
Nasisitiza "Kwangu Imekuwa Sumu"
Nikitumia Hata Robo Ya Kijiko Cha Maji Ya Limao, Baada Ya Masaa Kadhaa Kichwa Kinanibana Karibia Kufa.
Naombeni Ufafanuzi Wenu, Ni Kwamba Limao Ni Sumu?
Usiwe unakula na maganda yake, limao sio sumu.Toeni Ufafanuzi Wakuu, Nimetoka Kula Ban Dakika Kadhaa Nyuma!
Oohh! " yani kamoko tu na kitu kikatiki!! ?Eeh! Ile Mimba Uliyonipa
Eeh! Ile Mimba Uliyonipa
Hongera. Nami nimeanza tatizo asali. Mimi nagonga ndimu moja, tangawizi na kitunguu swaumu niliyoikwaruzia kwenye maji yakachemka kama dk 20 lisha asali kijiko kikubwa, ila sio kila siku maana uchumi nao. Ni kila baada ya siku moja.Mi asubuhi lazima nigonge limau tatu ,iliyo changanywa na tangawizi kisha nakorogea asali mbichi kijiko kimoja,inakuwa chungu sana lakini ukiizoea unaiona tamu na mbadala wa chai,inakuwa moto hasa.
unatakiwa haraka iwezekanavyo ule ban nyingine ili akili ikae Sawa!!!Toeni Ufafanuzi Wakuu, Nimetoka Kula Ban Dakika Kadhaa Nyuma!
Hebu tupe uzoefu ulipokuwa unakaribia kufa ulikuwa unaona nini?
Kufa kwanz ili tuthibitishe!Ndio, Mimi Nimethibitisha "Limao Kwangu Ni Sumu."
Nasisitiza "Kwangu Imekuwa Sumu"
Nikitumia Hata Robo Ya Kijiko Cha Maji Ya Limao, Baada Ya Masaa Kadhaa Kichwa Kinanibana Karibia Kufa.
Naombeni Ufafanuzi Wenu, Ni Kwamba Limao Ni Sumu?
Kwa Kawaaida Sumu Inaweza Kukuua Moja Kwa Moja, Au Ikakuua Taratibu.Kufa kwanz ili tuthibitishe!
Mimi ninatumia kila siku nikiamka Asubuhi ninachukuwa kipande kimoja kikubwa cha limao ninakamuwa na kukiweka ndani ya glasi ya maji ya Uvuguvugu na kukoroga vizuri na kunywa mbona hiyo juisi ya limao haija ni dhuru?Ndio, Mimi Nimethibitisha "Limao Kwangu Ni Sumu."
Nasisitiza "Kwangu Imekuwa Sumu"
Nikitumia Hata Robo Ya Kijiko Cha Maji Ya Limao, Baada Ya Masaa Kadhaa Kichwa Kinanibana Karibia Kufa.
Naombeni Ufafanuzi Wenu, Ni Kwamba Limao Ni Sumu?