Jaribu kumwona daktari, inawezekana una matatizo mengine ambayo yanafanya limao likuletee mzio (allergy). Ninachojua limao lina faida lukuki mwilini...Ndio, Mimi Nimethibitisha "Limao Kwangu Ni Sumu."
Nasisitiza "Kwangu Imekuwa Sumu"
Nikitumia Hata Robo Ya Kijiko Cha Maji Ya Limao, Baada Ya Masaa Kadhaa Kichwa Kinanibana Karibia Kufa.
Naombeni Ufafanuzi Wenu, Ni Kwamba Limao Ni Sumu?
Nilikuwa Naona "Jeneza La Mawe"
Sio Mbao Za Mawe Tena!
Unataka msaada gani Limao au?Wakuu Nisaidieni Basi Acheni Wehu!