Ulaji wa mafuta upo wapi kwenye gari?

Kwa anaejua, hizi toyota dropbox hutumia aina gani ya engine kati ya hizo tatu mleta mada kaleta.
 
Kwa anaejua, hizi toyota dropbox hutumia aina gani ya engine kati ya hizo tatu mleta mada kaleta.
drop box inatumia engine ya 1NZ FE
 
nazani mkuu umenielewa tofauti hakuna cha ufundi wa mtaani wala wa darasani.sensor zinafanana ukitaka kibisha au kukataa utakataa tuu.mfano mzuri nozzel zinafanana sana utakuta gari yenye engine ya aina moja yenye cc tofauti nozzel ni sawa sawa.
Sikiliza wewe kwanza nozzle sio sensor. Pili sensor hazifanani. Nauza hivyo vitu kila siku ndio maana nikakutajia Lambda Sensor sasa ukiniambia eti sensor zinafanana ni wazi unaongea usichokijua.

Hizo hapo za vw golf moja ni ya 1.8T moja ya 1.6
 
Yaani vitu vingine wala hutakiwi kuwa fundi kujua viko wazi kabisa.
 
kuna ktu pia knaitwa compresion ratio nacho pia ikiwa kubwa inaweza sababisha ulaj wa mafuta kuongezeka au kupungua hal kadhalika na nguvu pia mfano wa injin zako hapo juu 2jz fse wameongeza compresion ratio ili kupunguza ulaj wa mafuta ila stil then gar zote zeny hyo injin ni auto_transmission hvo ulaji lazma uwe mkubwa zaid ya kale kadogo chake ,
 
kwanza ungejua CC ktk engine zipo wap na zna maana gan zna effects gan apo ndo ungejua ukwel
 
hapa hatupo kwaajili ya kubishana bali tupo kwa ajili ya kufundishana na kujuzana.

hivi gari kuwa na nguvu kubwa mfano kuwa na speed kubwa kunahusiana na cc??
Nguvu kubwa ndio inahusiana na cc kubwa.Lakini spind kubwa haihusiani na cc kubwa.
 
kwanza ungejua CC ktk engine zipo wap na zna maana gan zna effects gan apo ndo ungejua ukwel
Cc ni ujazo wa hewa unaongia kwenye chemba ili uchanganyikane na mafuta ili combustion ifanyike.Hewa inapokuwa nyingi ndio ongezeko la mafuta linavyoongezeka ili combustion ifanyike kwa wepesi zaidi.Kuna ratio maalum inahitajika ili kufanya iyo combustion.
 
Compression ratio in uwezo wa piston au pigo za piston kwenda chini,kuibana hewa na mafuta ili kuandaa combustion ifanyike kwa urahisi zaidi.Sasa sijaelewa unazungumzia compression za ya aina gani.
 
Mleta mada mimi nimekuelewa na pia nimepata majibu kadhaa kwa sababu quantum d4d ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida sana na ina engine kubwa pia nguvu kama land rover discovery Td 3 na 4 engine za izo gari ni kubwa ila ulaji wa mafuta upo kawaida sana...
 
AL MADINA COMPUTERS
Tunafanya huduma ya kutengeneza magari ya aina mbalimbali (Diagnosis) kwa kutumia Komputer kutoka (America,Asia,Europe na China) na heavy equipment kama Cat, Excavator.,Roller,MAN,HINO,VOLVO ,IVECO, JAC, KIA,JIANG FENG,BULLDOZER,AGRICULTURAL MACHINERY,FIAT,BORMAG ROLLER,PERKINS MACHINES,BENZ n.k
Mchanganuo wa gharama ni kama Ifuatavyo
1.Magari madogo ya Japan - $30
2.Magari size ya kati- $50
3.Magari aina ya Fuso- $70
4.Lories-$100
5.Excavator-$200
6.other Heavy Equipment-$300-$400
Tukikubaliana tunakufata ulipo kwa ajili ya service
Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa simu na. 0766583227
 
!
!
Gari mbili zinazofanana kila kitu, Lakini zikaendeshwa na madereva wawili tofauti katika umbali unaofana, Ulaji wa mafuta hautakuwa sawa. Mmoja atakuwa katumia mafuta mengi kuliko mwingine. Hapohapo gari hilo hilo moja kwa umbali uleule ulaji wa mafuta utategemea na uzito wa mzigo uliyobeba.....Sasa hata sielewi nimetokea wapi na nataka kusema nini
 
Kwa anaejua, hizi toyota dropbox hutumia aina gani ya engine kati ya hizo tatu mleta mada kaleta.
drop box inatumia engine ya 1NZ FE
ni kweli mkuu lkn watu naona kwenye hii mada hawajanielewa kama ambavyo hujanielewa wewe.

nilikuwa nahitaji kujuzwa kwenye gari nisehem ipi huwa inahusika na masuala ya kucontrol mafuta maana kuna kitu nilikuwa nafikilia lkn watu wamekwenda mbali zaidi kwenye machenical zaidi .
 
Tutaaminije kama ni fundi wa uhakika hata kujibu baadhi ya masuali ya wachangiaji huwezi.

Jibu kwa fact masuali ya wachangiaji watakutafuta wenyewe na kukuuliza unapatikana wapi.

Au na nyie ni mafundi kanjanja hata trouble shoot kwenu ni kazi.

Jikite kujibu masuali tutakutafuta wenyewe.
 
Mkuu gari yako ni automatic au manual?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…