Ulaji wa mafuta upo wapi kwenye gari?

Ulaji wa mafuta upo wapi kwenye gari?

Kwa anaejua, hizi toyota dropbox hutumia aina gani ya engine kati ya hizo tatu mleta mada kaleta.
 
nazani mkuu umenielewa tofauti hakuna cha ufundi wa mtaani wala wa darasani.sensor zinafanana ukitaka kibisha au kukataa utakataa tuu.mfano mzuri nozzel zinafanana sana utakuta gari yenye engine ya aina moja yenye cc tofauti nozzel ni sawa sawa.
Sikiliza wewe kwanza nozzle sio sensor. Pili sensor hazifanani. Nauza hivyo vitu kila siku ndio maana nikakutajia Lambda Sensor sasa ukiniambia eti sensor zinafanana ni wazi unaongea usichokijua.

image%20%2812%29-07.jpg

$_35.JPG

Hizo hapo za vw golf moja ni ya 1.8T moja ya 1.6
 
Mkuu mm nafikiri ukubwa wa combustion chamber una matter sana, kwa mfano gari yenye cc 2000 inahitaji mafuta mengi na hewa ili iweze kutengeneza mlipuko wenye nguvu zaidi kuliko gari yenye cc 900 ambayo combustion chamber ni ndogo. Pia ukipunguza uingiaji wa mafuta na kusababisha hewa iingie nyingi zaidi itapelekea gari kukosa nguvu kwani lazma kuwe na appropriate air:fuel ratio kulingana na ukubwa wa combustion chamber.
Yaani vitu vingine wala hutakiwi kuwa fundi kujua viko wazi kabisa.
 
kuna ktu pia knaitwa compresion ratio nacho pia ikiwa kubwa inaweza sababisha ulaj wa mafuta kuongezeka au kupungua hal kadhalika na nguvu pia mfano wa injin zako hapo juu 2jz fse wameongeza compresion ratio ili kupunguza ulaj wa mafuta ila stil then gar zote zeny hyo injin ni auto_transmission hvo ulaji lazma uwe mkubwa zaid ya kale kadogo chake ,
 
kwanza ungejua CC ktk engine zipo wap na zna maana gan zna effects gan apo ndo ungejua ukwel
 
hapa hatupo kwaajili ya kubishana bali tupo kwa ajili ya kufundishana na kujuzana.

hivi gari kuwa na nguvu kubwa mfano kuwa na speed kubwa kunahusiana na cc??
Nguvu kubwa ndio inahusiana na cc kubwa.Lakini spind kubwa haihusiani na cc kubwa.
 
kwanza ungejua CC ktk engine zipo wap na zna maana gan zna effects gan apo ndo ungejua ukwel
Cc ni ujazo wa hewa unaongia kwenye chemba ili uchanganyikane na mafuta ili combustion ifanyike.Hewa inapokuwa nyingi ndio ongezeko la mafuta linavyoongezeka ili combustion ifanyike kwa wepesi zaidi.Kuna ratio maalum inahitajika ili kufanya iyo combustion.
 
kuna ktu pia knaitwa compresion ratio nacho pia ikiwa kubwa inaweza sababisha ulaj wa mafuta kuongezeka au kupungua hal kadhalika na nguvu pia mfano wa injin zako hapo juu 2jz fse wameongeza compresion ratio ili kupunguza ulaj wa mafuta ila stil then gar zote zeny hyo injin ni auto_transmission hvo ulaji lazma uwe mkubwa zaid ya kale kadogo chake ,
Compression ratio in uwezo wa piston au pigo za piston kwenda chini,kuibana hewa na mafuta ili kuandaa combustion ifanyike kwa urahisi zaidi.Sasa sijaelewa unazungumzia compression za ya aina gani.
 
Mleta mada mimi nimekuelewa na pia nimepata majibu kadhaa kwa sababu quantum d4d ulaji wake wa mafuta ni wa kawaida sana na ina engine kubwa pia nguvu kama land rover discovery Td 3 na 4 engine za izo gari ni kubwa ila ulaji wa mafuta upo kawaida sana...
 
AL MADINA COMPUTERS
Tunafanya huduma ya kutengeneza magari ya aina mbalimbali (Diagnosis) kwa kutumia Komputer kutoka (America,Asia,Europe na China) na heavy equipment kama Cat, Excavator.,Roller,MAN,HINO,VOLVO ,IVECO, JAC, KIA,JIANG FENG,BULLDOZER,AGRICULTURAL MACHINERY,FIAT,BORMAG ROLLER,PERKINS MACHINES,BENZ n.k
Mchanganuo wa gharama ni kama Ifuatavyo
1.Magari madogo ya Japan - $30
2.Magari size ya kati- $50
3.Magari aina ya Fuso- $70
4.Lories-$100
5.Excavator-$200
6.other Heavy Equipment-$300-$400
Tukikubaliana tunakufata ulipo kwa ajili ya service
Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa simu na. 0766583227
 
wakuu hembu naomba mm mnijuze kidogo nafikiria sana juu ya watu wanao sema kuwa gari yenye cc kubwa ndio hula sana mafuta.kwa mbali na kubali na kwaukubwa nakataaa.

kukataa kwangu kuna ambatana na kuwa gari kutumia mafuta mengi inategemeana na techonogia gani iliyotumika kwenye hiyo engine na gari.
hapa na maanisha ni njia gani imetumika toka mafuta yanatoka kwenye tank mpaka yanaunguzwa kwenye chember??

mpaka hapa sasa tuna mifumo mitatu ya mafuta kuingia kwenye chember.

ya kwanza ni yazamani sana kwa kutumia.carbureter hii hewa na mafuta mchanganyiko ulikuwa unafanyika kwenye carbureter then unatemwa kwenye inlet manford hapo itategemeana na silinda ipi inakuwa kwenye mlipuo ndio ule mchanganyiko utakwenda.
hasara performance yake sio nzuri sana na hata mafuta mengi yanapotelea kwenye inletmainford.

njia ya pili ni ile ya EFI hii njia ni bora zaidi ya curbureter yenyewe uzuri wake ni kuwa mchanganyiko wa hewa unafanyika kwenye inletmaiford lkn mfumo huu kila silinda inakuwa na nozel yake hivyo silinda husika.ndio itapelekewa mafuta na yataunguzwa ndani ya chember .lkn hata njia hii nayo bado baadhi ya mafuta hupotea kwenye inlet mainford.

njia ya mwisho kabisa au techonogia ya mwisho kabisa ambayo ndio tupo nayo na.ninzuri ingawa watu tunajifanya kuikataa ni hii ya d4 kwa gari za petrol na d4d kwa gari za diesel.
njia hii ni bora na ninzuri sana uzuri wake ni kuwa mchanganyiko wa hewa na mafuta huwa unafanyika ndani ya chember.hapa nozel huwa zimefungwa moja kwa moja kwenye silinda na huwa zinafika mpaka kwenye chember zinakuwa pamoja na spark plug.
hivyo katika njia zote hizoo njia hii ndio ambayo ni nzuri kwani ulaji wa mafuta ni mdogo perfomance ni nzuri na gari huwa na nguvu sana na nirafiki wa mazingira n.k

kubwa ni kuwa tukiachana na njia ya kwanza ya curbureter .hizi njia nyingine nzuri je gari ulaji wake wa mafuta uko wapi??

mfano tukachukua engine za aina moja zenye zinazofanana kila kitu kama 1JZ FSE na 2JZ FSE moja iwe na cc kubwa na nyingine iwe na cc kidogo.

hapo swali yenye cc kubwa ndio mwasema inakunywa sana mafuta sasa hapo ulaji wa mafuta unatoka wapi?? kwenye sensor,nozel or ECM control box??

je engine yenye cc kubwa tukitaka itumie mafuta kidogo kama engine yenye cc ndogo tufanyeje??

mfano tukibadili sensor zote za kwenye gari pamoja na nozel zilizopo kwenye engine ambayo ina cc ndogo na kuweka kwenye engine ambayo ina cc kubwa je ulaji wa mafuta utapungua?? engine yenye cc kubwa itatumia mafuta kama engine yenye cc ndogo??

mm nahisi kama hapana bado itakuwa vile vile.

nahisi ulaji wa mafuta katika gari ambazo zipo na engine ya aina moja bali nyingine ina.cc kubwa na.nyingine ndogo upo kwenye ECM control box.

na.hapo ndio ninapofikilia mm binafsi ndio maana unaweza ukaiboost gari na kuiongezea power gari mfano gari yenye speed 200 ikafika mpaka 230 or 250 ikiifanyia mapping na kuongeza na kupunguza vitu kadhaa kwenye gari.

mafundi.wenzangu na wenye utaalam wa mambo haya je gari yenye cc kubwa utumiaji mkubwa wa mafuta upo wapi??

maana mambo yote setting zote za gari na sensor kuwa now gari ipo kwenye conditio ipi je nozzel zifungue mafuta mengi au kidogo ni setting zilizopo kwenye control box na.sio kwenye nozzel hivyo kama ndio basi tunaweza kupunguza ulaji wa mafuta kwenye gari zenye cc kubwa.na pia tunaweza kuziongezea power gari zenye cc kubwa na.ndogo bila kuongeza ulaji wa mafuta.

!
!
Gari mbili zinazofanana kila kitu, Lakini zikaendeshwa na madereva wawili tofauti katika umbali unaofana, Ulaji wa mafuta hautakuwa sawa. Mmoja atakuwa katumia mafuta mengi kuliko mwingine. Hapohapo gari hilo hilo moja kwa umbali uleule ulaji wa mafuta utategemea na uzito wa mzigo uliyobeba.....Sasa hata sielewi nimetokea wapi na nataka kusema nini
 
Kwa anaejua, hizi toyota dropbox hutumia aina gani ya engine kati ya hizo tatu mleta mada kaleta.
drop box inatumia engine ya 1NZ FE
!
!
Gari mbili zinazofanana kila kitu, Lakini zikaendeshwa na madereva wawili tofauti katika umbali unaofana, Ulaji wa mafuta hautakuwa sawa. Mmoja atakuwa katumia mafuta mengi kuliko mwingine. Hapohapo gari hilo hilo moja kwa umbali uleule ulaji wa mafuta utategemea na uzito wa mzigo uliyobeba.....Sasa hata sielewi nimetokea wapi na nataka kusema nini
ni kweli mkuu lkn watu naona kwenye hii mada hawajanielewa kama ambavyo hujanielewa wewe.

nilikuwa nahitaji kujuzwa kwenye gari nisehem ipi huwa inahusika na masuala ya kucontrol mafuta maana kuna kitu nilikuwa nafikilia lkn watu wamekwenda mbali zaidi kwenye machenical zaidi .
 
AL MADINA COMPUTERS
Tunafanya huduma ya kutengeneza magari ya aina mbalimbali (Diagnosis) kwa kutumia Komputer kutoka (America,Asia,Europe na China) na heavy equipment kama Cat, Excavator.,Roller,MAN,HINO,VOLVO ,IVECO, JAC, KIA,JIANG FENG,BULLDOZER,AGRICULTURAL MACHINERY,FIAT,BORMAG ROLLER,PERKINS MACHINES,BENZ n.k
Mchanganuo wa gharama ni kama Ifuatavyo
1.Magari madogo ya Japan - $30
2.Magari size ya kati- $50
3.Magari aina ya Fuso- $70
4.Lories-$100
5.Excavator-$200
6.other Heavy Equipment-$300-$400
Tukikubaliana tunakufata ulipo kwa ajili ya service
Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa simu na. 0766583227
Tutaaminije kama ni fundi wa uhakika hata kujibu baadhi ya masuali ya wachangiaji huwezi.

Jibu kwa fact masuali ya wachangiaji watakutafuta wenyewe na kukuuliza unapatikana wapi.

Au na nyie ni mafundi kanjanja hata trouble shoot kwenu ni kazi.

Jikite kujibu masuali tutakutafuta wenyewe.
 
drop box inatumia engine ya 1NZ FE

ni kweli mkuu lkn watu naona kwenye hii mada hawajanielewa kama ambavyo hujanielewa wewe.

nilikuwa nahitaji kujuzwa kwenye gari nisehem ipi huwa inahusika na masuala ya kucontrol mafuta maana kuna kitu nilikuwa nafikilia lkn watu wamekwenda mbali zaidi kwenye machenical zaidi .
Mkuu gari yako ni automatic au manual?.
 
Back
Top Bottom