Ulaji wa mafuta wa coaster ni lita ngapi?

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,229
Je coaster ikiwa na abiria na mzigo inakula mafuta lita 1 kwa kilometa 4 je ni sawa. Aina ya coaster ni 1hz. Ina miaka 2 tu.

Na je ulaji wa kawaida wa mafuta ni kiasi gani. Ikiwa na mizigo na watu.??

Coaster hiyo inafanya kazi babati arusha..

Na je kwa ulaji huo ikageuzwa daladala ulaji utapungua au itaongezeka??
 
Landcruiser 1hz..inaenda around 7kms kwa lita moja..
Coaster ni nzito zaidi.. Abiria wengi.. Mizigo pia.. Uchakavu wa gari.. Nahisi hiyo figure ipo sawa..!
Engine hiyo ni underpowered.. Lazima atumie nguvu kubwa kumove.. Mafuta mengi yachomwe..

Ukiifanya daladala itakula pia.. Go n Stop.. Foleni.. zinamaliza mafuta..!
 
Mh Landcruiser inaenda 8 hadi 9. Kwa hiyo 7 inakuwa imechoka. Coaster 6km per litre
 
Landcruiser 1hz..inaenda around 7kms kwa lita moja..
Coaster ni nzito zaidi.. Abiria wengi.. Mizigo pia.. Uchakavu wa gari.. Nahisi hiyo figure ipo sawa..!
Engine hiyo ni underpowered.. Lazima atumie nguvu kubwa kumove.. Mafuta mengi yachomwe..

Ukiifanya daladala itakula pia.. Go n Stop.. Foleni.. zinamaliza mafuta..!
Ina miaka 2 tu.
 
Nifanyaje nikihis daladala itapunguza ulaji kiasi fulani.
 
6.4l/km gari kama iko vizuri, ikipunguza zote hizo mpaka 4.8, sio uchakavu wa kupuuza
Nilidhani njia kwakuwa ina miinuko kiasi fulani ndio inachangia. Pamoja na keria na abiria. Itabidi niende kwa fundi pump ili nijue tatizo ni nini
 
Huo ulaji wa Scania 360, chunguza clutch plate & pressure plate zipo sawa maana Kama mzunguko wa engen na gear box havi tally ni shida. Angalia ubora wa hizo parts Kama zina slip India funga mpya. Je nozzles, plunger/rotter ya pump zipo serviced kwa STD za 1hz? Je dereva wako anatumia gia kwa kuchange ipasavyo Kama ni manual gear na if auto je gari yako Ina change gear au Kuna shida ya gear box sensor? T
Je exale za gari yako hazijam coz if zina jam gari itakuwa nzito ulaji mafuta utakuwa juu. Pitia angel hizo mkuu utakuja niambia maana najua gari vyema nimekaa na magari mabovu toka 1996 to date Ila nakula life
 
Asante
 
Back
Top Bottom