Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,229
Mh Landcruiser inaenda 8 hadi 9. Kwa hiyo 7 inakuwa imechoka. Coaster 6km per litreLandcruiser 1hz..inaenda around 7kms kwa lita moja..
Coaster ni nzito zaidi.. Abiria wengi.. Mizigo pia.. Uchakavu wa gari.. Nahisi hiyo figure ipo sawa..!
Engine hiyo ni underpowered.. Lazima atumie nguvu kubwa kumove.. Mafuta mengi yachomwe..
Ukiifanya daladala itakula pia.. Go n Stop.. Foleni.. zinamaliza mafuta..!
4.6 to 4.8 ikiwa na mizigo kwa keria na abiria.Km 4?
Mmmh!!
4.6 to 4.8 ikiwa na mizigo kwa keria na abiria.4km/l? Paki hiyo gari, haina nia njema na wewe unless kama na wewe ni mlamba asali
Ina miaka 2 tu.Landcruiser 1hz..inaenda around 7kms kwa lita moja..
Coaster ni nzito zaidi.. Abiria wengi.. Mizigo pia.. Uchakavu wa gari.. Nahisi hiyo figure ipo sawa..!
Engine hiyo ni underpowered.. Lazima atumie nguvu kubwa kumove.. Mafuta mengi yachomwe..
Ukiifanya daladala itakula pia.. Go n Stop.. Foleni.. zinamaliza mafuta..!
Kiasi gani inatakiwa ndio iwe ulaji wake wa kawaida.??Mkuu 4km/L too much.
Nifanyaje nikihis daladala itapunguza ulaji kiasi fulani.Landcruiser 1hz..inaenda around 7kms kwa lita moja..
Coaster ni nzito zaidi.. Abiria wengi.. Mizigo pia.. Uchakavu wa gari.. Nahisi hiyo figure ipo sawa..!
Engine hiyo ni underpowered.. Lazima atumie nguvu kubwa kumove.. Mafuta mengi yachomwe..
Ukiifanya daladala itakula pia.. Go n Stop.. Foleni.. zinamaliza mafuta..!
Minimum isishuke 6+ km/LKiasi gani inatakiwa ndio iwe ulaji wake wa kawaida.??
6.4l/km gari kama iko vizuri, ikipunguza zote hizo mpaka 4.8, sio uchakavu wa kupuuza4.6 to 4.8 ikiwa na mizigo kwa keria na abiria.
Nilidhani njia kwakuwa ina miinuko kiasi fulani ndio inachangia. Pamoja na keria na abiria. Itabidi niende kwa fundi pump ili nijue tatizo ni nini6.4l/km gari kama iko vizuri, ikipunguza zote hizo mpaka 4.8, sio uchakavu wa kupuuza
Loss kubwa sanaMinimum isishuke 6+ km/L
Ina miaka 2 tu.
Ni model ya mwaka 2020..!!?au miaka miwili hapa Tanzania..!!?Nifanyaje nikihis daladala itapunguza ulaji kiasi fulani.
AsanteHuo ulaji wa Scania 360, chunguza clutch plate & pressure plate zipo sawa maana Kama mzunguko wa engen na gear box havi tally ni shida. Angalia ubora wa hizo parts Kama zina slip India funga mpya. Je nozzles, plunger/rotter ya pump zipo serviced kwa STD za 1hz? Je dereva wako anatumia gia kwa kuchange ipasavyo Kama ni manual gear na if auto je gari yako Ina change gear au Kuna shida ya gear box sensor? T
Je exale za gari yako hazijam coz if zina jam gari itakuwa nzito ulaji mafuta utakuwa juu. Pitia angel hizo mkuu utakuja niambia maana najua gari vyema nimekaa na magari mabovu toka 1996 to date Ila nakula life
Pia Kama mashine Haina pulling lazima ibwie wese check oil na compression ring if tired change fastAsante
Umejaribu kuulizia 1hz zingine zinatumiaje mafuta kwenye hiyo njia?Ina miaka 2 tu.