Ulaji wa mafuta wa Crown v6 2.5l 12km/l

Hapa umesema ukweli. Ndio maana hizo gari watu wanasema zinabwia. Hamna mtu ataendesha kwa principles ili uweze kupata l/km zilizoainishwa na mtengenezaji. Hio gari hapa Dar ukijitahidi Sana 6km/l.
Dar jam nyingi sana tatizo, yani hapa na hapa hasa rush hours ila wa mikoani wanapeta tu
 
M
Mwongo, hujui unachoeleza
 
Usitudanganye bwana, hakuna lolote unalolijua..
 
Nadhani Mark II GX 110 Grand,Mark II GX 100 hawana V6 wana i6.

 
ukisikiwa unasema hivo utachekwa unataka litumiaje mafuta yani...angalia ukubw wa engine uzito Wa gari then unataka liende 15km/L na ni petrol ?? uko out of ur mind ?? gari zote saizi ya crown ndo ulaji wake huo achen sema crown inKula mafuta ....weka brevis weka Nissan fuga.. crown na zingne zaizi hiyo kisha ndo useme crown inakula mafuta sio kucompare crown na ist kina rav4 nk
 
ww ndo jinga kabisa mbona Extrovert kaelezea vizuri ...kwamba hapo hujaelewa nn yani

mguu wako ukiwa light gia zinawah jibadil tena kwa rpm ndogo sana hata isifike kwenye 2 ukibofya unachelewa badil lina assume unataka kimbia na ulaji unakuwa mkubwa pia hata ukiendesha vits bado litakula kama rav4 wakati ni dogo!!
 
Nini madhara ya kutumia N gear kwenye mtelemko?
 
Ukiweka N maana yake umetenganisha injini na gia box so injini inakua haipeleki tena power kwny matairi kwa hyo tairi zinakua zinazunguka kila moja kimpango wake kupoteza muelekeo inakua rahisi zaidi..

Hasara ingine ukiweka N unamaliza breki sababu itabd utumie breki kwa sana kusimamisha gari tofouti na likiwa kwny gia ukiweka gia injini inakusaidia kusimamisha gari linakua zito
Nini madhara ya kutumia N gear kwenye mtelemko?
 
7-9km/l at average, hio ni kwa economical driving. Ukiendesha ki sifa (kwa wale wa overtake zisizo lazima na kushuka tuta anatoka na speed mia) ndio utapigwa 4.5-6km/l ama kama matunzo hafifu!

Naam huu ndo ulaji wa mafuta wa hili Crown ..so kama pumzi yako ndogo nakushauri usikurupuke kulileta ndani..lakini kwa safari ndefu utafurahi na roho yako..maana mnyama anakupa burudani zote unazozitaka.
 
Nini madhara ya kutumia N gear kwenye mtelemko?

Unapoweka N unakata mzunguko wa mafuta kwenye engine kitu ambacho ni hatari kwa maisha marefu ya gari yako. ni sawa na kumkurupua mtu usingizini kisha ukamwambia akimbie.
 
Naam huu ndo ulaji wa mafuta wa hili Crown ..so kama pumzi yako ndogo nakushauri usikurupuke kulileta ndani..lakini kwa safari ndefu utafurahi na roho yako..maana mnyama anakupa burudani zote unazozitaka.
safari ndefu ndio raha ya 6 cylinders
 
Uko sahihi mkuu, nilishachunguzaga sana hilo
 
Umenena vema kiongozi
 
Wabongo hatuna hela jamani yani V6 haitakiwi kutuliza machozi kwenye mafuta,ingekua V6 twin turbo je? V8? Tununue magari tunayoweza kuyamudu kwenye matumizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…