Mkuu ukinunua Crown ni sawa na umefunga nayo ndoa,ni hazifai kwa consuption ya mafuta
Tena ikiwa V6 hio ni ndoa hata kuuza huiuzi labda utauza bei ya bodaboda
Crown ikiwa Highway unaenda zaidi ya speed 110 hapo utaiona geji ya mafuta inavyopuliza[emoji38]
Kwa swala la Luxury,Full Options pia barabarani zinatulia,Hapo kwa Crown ni kiboko
Lkn kwa upande wa mafuta ndio ni kichef chefu hazifai
Pia
Brevis
Mark II GX 110 Grand
Mark II GX 100
Hizo zote hazifai kwasbb ni V6 kwa mafuta unaweza ukaiacha gari barabarani,hususa kwa town unatembelea gea kubwa kwasbb ya Jam hapo kila baada ya siku 2 lazma mafuta ya 40 elf yatahitajika ndio taa ya petrol izimike ktk gej ya mafuta[emoji1321][emoji3603]
Kwa uhakika ingia App ya Kupatana utazikuta hizo gari zikiwa bado safi kabisa lakini bei zake zinavyouzwa hazizidi Milion4[emoji1321][emoji3603]