SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Top 10 za kibongo ni kitu gani?
Wizi wa mitihani,kusomea mitihani siyo akili hii bali ni dalili ya akili kuwa utumwani!
Watu wenye akili wana reason sana hawawezi kutembea na marking scheme ya NECTA hivyo sio rahisi kupata hizo A za mchongo
Sawa..
 
Mahindi walileta wakoloni
 
 
Nimecheka sana mpaka mbavu zinauma. Kuna mjumbe kasema kuna watu ni wataalamu wa kuandika pumba huyu ndio kaniacha hoi. Yaani leo mtu anasema ugali hauna nutrients ni sumu. Basi ingekua sumu hata mortality rate yake ingekuwa ni 0.004% basi kila mwaka tungekua tunashuhudia death za kutosha related to Ugali. Nafikiri mwandishi hana utaalamu wa afya , hata basi nutrition, pia hawezi kurelated sumu na chakula. Mbaya exposure yake na nchi nyingi za afrika na Asia ni ndogo ndio maana anasema nchi nyingi za Afrika hawali Ugali, mazee fufu ndio habari ya mjini. Kenya tu hapa Unga wa ugali unaweza kumpoteza Raisi wa nchi chezea wewe
 
Kuliwa na wanyama sio hoja, fanya uweke chakula unayoona ni bora halafu tuilinganishe na dona kwa ushahidi wa kitaalamu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…