Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samaki Hatari Tupate Na Pictureshuyo samaki Nguru anaitwaje kwa jina la kiingereza?
Pole sana.Wakuu nina huzuni sana samaki amesababisha ajali kwa baharia wangu tulikuwa tunarudi Zanzibar kwa kutumia jahazi tukatosa Mshipi kwa ajili ya kutafuta kitoeleo tulipokuwa Karibu na mafia samaki akanasa kwenye Mshipi.
Alikuwa nguru baharia wangu baada ya kumpakia samaki kwenye jahazi kwa bahati mbaya samaki akatafuna kisigino ilimwagika damu nyingi sana na mpaka tunafika bandarini tukampeleka hospitali ikawa ameshafariki
Tangulia baharia
View attachment 2907909
Kwanini hamkutumia mshipi huo huo mliyemvulia nguru kufunga kwenye mguu kunusuru umwagikaji mkubwa wa damu?Tupo baharini hatukuwa na chakufunga