TANZIA Ulale pema peponi baharia wangu

Mkuu chongoe inabidi mpate elimu ya huduma ya kwanza (Elementary First Aid).

Baharia yeyote anatakiwa awe amesoma kozi za awali za ubahari zinamuwezesha kukabiliana na huduma ya kwanza,moto, mazingira na kuishi na watu tofauti. Kwenye majahazi najua wengi wanapiga kwa uzoefu. Elimu ya huduma ya kwanza kwa manahodha na mabaharia ni muhimu sana
 
Pole sana.
 
Mgemfunga mguu damu isingetoka nyingi uzembe kwaiyo mlifanyaje alovyong'atwa alimtoboa mshipa mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…