Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Apumzike kwa Amani
Pole Sana kwa ndugu zake waliobaki nyuma.Wadau hamjamboni nyote
Mungu amlaze mahala pema peponi mpiga picha na sajenti rose nyawira wa Jeshi la Kenya aliyefariki kwa ajali majuzi
It seems that it was an assassination plot by means of the staged accident.Poleni sana wafiwa dada bado mbichi sana , hii chopa ilitunguliwa na majambazi ya baringo au kuna faulo au ni kupuuzia ubora wa vifaa vya usafiri vya jeshi ?
Okay, very sadIt seems that it was an assassination plot by means of the staged accident.
Confirmed au unarefusha mdomo?It seems that it was an assassination plot by means of the staged accident.
Wewe ni miongoni mwa hao watu wanaopanga ratiba za watu kufa nini???Mbona naona Kama unajishitukia wewe mwenyewe?????? Wewe ulishawahi kuona au kusikia wapi watu wauaji wanakubali kiurahisi kwamba kweli wao ndio wauaji??Confirmed au unarefusha mdomo?
Tufe wazee pekee yetu et????R.I.P jirani, dada mdogo kabisa huyu.
Jibu swali ni confirmed au ni speculations Tu? Acha kurefusha mdomo wewe sio msemaji WA taasisi yoyote wala hata ukoo wako.Wewe ni miongoni mwa hao watu wanaopanga ratiba za watu kufa nini???Mbona naona Kama unajishitukia wewe mwenyewe?????? Wewe ulishawahi kuona au kusikia wapi watu wauaji wanakubali kiurahisi kwamba kweli wao ndio wauaji??
😅🤣Tufe wazee pekee yetu et????
HATA KU GOOGLE HUJUI JIONGEZEConfirmed au unarefusha mdomo?