Ulaya hakuna wezi wa simu

Ulaya hakuna wezi wa simu

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
NDVD_032-copy-800x450.jpg
 
sipati picha watoto ka hawa wajiachie hivi tandika
 
Tatizo sio vibaka tatizo wateja wa kununua simu kutoka kwa vibaka hakuna..............ulaya kuna wezi we waulize wajapani wanavyoibiwa..............vipuli bandarini
 
Subiri wakutane na Waromania, ndio wanajua kama Ulaya kuna vibaka au la!
 
wezi wapo sana ila kwa nchi za Scandinavia,wezi ni wageni na waarabu wamefungua maduka kabisa unaweza uza au fungua simu ulizoiba kwa watu,wana haki ya kuchukia wageni
 
Back
Top Bottom