Ulaya kodi sio ya kinyonge aisee, Ingekuwa bongo tungeandamana aisee

Siri ya raia kulipa kodi kwa kujitolea ni matumizi ya kodi hizo.
Ulaya kodi inarudi kwa raia kwa jina la huduma za jamii , huku kwetu zinanunua v8 400mil plus kwa ajili ya mkurugenzi na vyeo vya kisiasa.
Huo ndio wizi niliosema hapo juu.
 
Bora ulaya Kodi zinawatumika 100percent kufacilitate maisha Bora Kwa raia , sasa huku Kodi hata zikiwa kubwa ni useless, utawala mbovu na uongozi ovyo, hizo Kodi zinanufaisha matumbo ya wapuuz flani na familia zao.
 
Uko sahihi sana jombaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…