Coolhigh
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 1,373
- 1,271
Huo ndio wizi niliosema hapo juu.Siri ya raia kulipa kodi kwa kujitolea ni matumizi ya kodi hizo.
Ulaya kodi inarudi kwa raia kwa jina la huduma za jamii , huku kwetu zinanunua v8 400mil plus kwa ajili ya mkurugenzi na vyeo vya kisiasa.