Ulaya kuzinyima nchi za Afrika Mashariki misaada kwa kutokuridhia EAC-EU EPA

Na sisi tutazuia au tutauza umeme kwa bei ambayo haitafikiwa na soko la dunia kwa zaidi ya miaka 1000 ijayo vile vile na bei ya transport na ushuru wa mafuta yaendayo migodini na kwenye biashara zao nyingine.
Ni bora tusing'ae mpaka tufike point waliyotubebea (zero aid level) ili tuanzie hapo kuja huku tulipo.
Na permit za wazungu kuja Tanzania ziongezewe bei kwa mara million 100 kwenye gharama iliyopo. Na wengine wenye msimamo thabiti wa kumwezesha Mama Tanzania awakazie sura hawa Europeans Aendelee kupigilia!!
 
Naunga mkono hoja. Wasilisahau na 'TheEastAfrican'.....

Hehehehe... Hilo huwa linasomwa na great thinkers.... Analysis zake ni za level nyingine sio kama zile zenu huandika mambo ya vigodoro na singeli Dar.
 
Hehehehe... Hilo huwa linasomwa na great thinkers.... Analysis zake ni za level nyingine sio kama zile zenu huandika mambo ya vigodoro na singeli Dar.
Great thinkers wana magazeti yao bwana sio hilo TheEastAfrican la kufungia maandazi na vitumbua.
 
kama mtu anakupa kinachoitwa "msaada" kwa masherit, maana yake siyo msaada huo, ni "mtego wa maslahi" kwa lugha halisi ni "mtaji"

Bora wabaki na vimisaada uchwara vyao!

kwanza mi huwa sielewi!
eti wanatoa misaada?
watoe burebure tu?
aa wapi!!

kukubaliana navyo ni kuingizwa mkenge!
 

Misaada huwa wanatoa kwa masharti siku zote, sio kwamba wameanza leo. Halafu kumbuka miafrika sisi ndio huwafuata fuata na vibakuli tukiomba hiyo misaada, hivyo hatuwezi kuwatunishia misuli leo hii. Na wataendelea kutufyonza hadi tukome maana Miafrika
- Hatuna ushirikiano
- Hatuna ubunifu
- Wazembe na wenye majungu miaka yote, hutaki kuona mwafrika mwenzio yeye kapata

Leo hii unamuuzia mzungu nyanya anakuuzia sauce ya hizo nyanya zako. Unamuuzia dhahabu halafu unamfuata kununua mikufu kwa pesa ulizoiba kifisadi.

Kikubwa ni kwamba hatupendani na hatuaminiani, unamwona ngozi nyeusi mwenzio kama kero. Hapo Bongo kuna mradi fulani kapewa mzungu halafu akaboronga ilhali amelipwa hela nyingi sana, hatimaye binafsi nimeishia kukamilisha huo mradi baada ya yeye kufurushwa.
Nimejionea matukio ya hivyo hata Kenya na tutaendelea kuhangaika hadi tutie akili.
 
afrika, labda baadabya miaka 200 mbele
 
Cha msingi Africa tuwe kitu kimoja tushirikiane kwenye mambo ya kimataifa,tusiwe wanafiki na kuombeana njaa
 
Wabongo tunaongea tu hapa lakini likija swali la kuundwa Shirikisho la Afrika Mashariki kila mtu anapiga chini!
 
Mkuu Malcom Lumumba, kiaje na Xmas?

Hili suala sioni kama litaathiri sana uchumi wetu, hebu tuangalie kidogo faida za huu msaada kwa nchi yetu.

Sehemu ya fedha hizi zinakwenda kwenye miradi kama maji masafi na visima, ujenzi wa shule, nishati ya umeme pamoja na kusaidia huduma za chanjo kwa watoto thidi ya magonjwa kama surua,

Na serikali ya raisi JPM kwasasa inahitahidi kuelekeza fedha katika maeneo haya hivyo hali itakuwa OK.

Hivyo ukiangalia sana hiyo fedha hata kama imepangwa kupitia EU kutokea nchi wahisani kama Uingereza, bado juzi waziri wa maendeleo wa Uingereza mama Patel amesema msaada wa Uingereza kwa nchi za Afrika ni kwa sababu za kimaslahi zaidi.

Hivyo, bado nchi kama Uingereza haiwezi kututupa mkono kijumajumla, kulingana na historia tuliyo nayo kati yetu.
 
unajua dhamani gani tutakayolipa?
 
Bora wasitupe misahada tuanze kutumia akili sema hapo tutaitaji viongozi wenye akili kutuvusha ilo ndo tatizo tupate wapi viongozi wenye akili watakao weza kuongoza kwa mafanikio bila misahada
 
I support the EU , you know Kenya is a middle income country unlike her rivalry in the region who rely 70% on the AID from EU,. those are the people who should be worried a lot.
 
Go die in the ocean man, (in deep sea)
That brainless thinking is No longer needed. Maisha ya kubahatisha hayo mkuu, vijana hatutaki mtazamo wa kiboya kama huo wako.
Hao uingereza ni wajomba zako?
 

Kuelemewa
 
Ndio maana China nawapa credits

Wamejikita kwenye miundo mbinu japo wao wanakopesha tu..
 
EU wanajitekenya wanajua who calls the shot in the region! Mara wafungue assembly plants in Nrb n Kigali thinking Tanzania will give in! I feel sorry for them..
Waende zao! We can't open up our market to an economic block that has contries that don't invest in us! Only the UK was doing that but unfortunately is no more EU member!
 
EU wanajitekenya wanajua who calls the shot in the region! Mara wafungue assembly plants in Nrb n Kigali thinking Tanzania will give in! I feel sorry for them..
Waende zao! We can't open up our market to an economic block that has contries that don't invest in us! Only the UK was doing that but unfortunately is no more EU member!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…