Ulaya kuzinyima nchi za Afrika Mashariki misaada kwa kutokuridhia EAC-EU EPA

Ulaya kuzinyima nchi za Afrika Mashariki misaada kwa kutokuridhia EAC-EU EPA

Wake up and see the reality ...

That hero of yours isn't going to play his cards well in anything

Usiongee kwa kuwa upo jukwaa la Kenya ... Kila mtu anaijua hali halisi ya Tanzania yaani haiwezi kuendesha bajeti yake yenyewe bila misaada lakini pia ninaona hoja ya kunyimwa misaada itawashtua hao mamwinyi ili wapate akili ya kuzisimamia rasilimali zetu .....
Sio mara ya kwanza, ilishawahi kutishiwa haya miaka 6 tu ya uhuru. Huijui Tz na walicholishwa, kaka hili ni taifa sio tu nchi hii. Unadhani ilikuwa ni jambo jepesi kuweka makambi ya wapigania uhuru wa nchi za kusini mwa Afrika, ureno, makaburu, nk? Mangapi tumeyavuka hapo?
 
That one does not make it an Indian company, it's a Kenya's company registered under companies act.
So, your fellow Kenyans are not correct when they says 529 companies in Tanzania (which are the product of Kenyan investment) belongs to Kenya. Even though those companies are registered as Tz.Co.Ltd and subject to Tanzanian corporate tax and Tanzania labour law.
 
Sio hao tu, nchi hii inatakiwa inyimwe misaada yote, yaani wote wazuie hiyo misaada yao, tunahitaji kuishi maisha yetu sasa.
For sure tumekuwa na viongozi dhaifu sana toka ccm, Nchi na rasilimali zote hizi halafu watu wanalilia misaada, ni ulemavu wa akili au ni kitu gani?
My strongest president do not ever hesitate telling them to stay with their money, we stay with our poverty, we will truly learn to get out of poverty by ourselves.
Ni aibu kwa mwanaume mwenye nguvu, akili na Afya kutegemea jasho la Mwanaume mwenzio,
Ndio maana hawa wazungu wamepata jeuri na kuvuka mipaka kiasi cha kutuambia tuwe mashoga ili tupate misaada,

I am sure my Strong president will agree with me,
There will be no EPA, neither any such exploitative deals,

@100% Mnyalu!
Nirahisi kuzungumza tu, kama ulivyo sema hapo, lkn ktk utekelezaji sisi watanzania bado! Dunia ya sasa imekua kijiji kwani mataifa yote yanategemeana na ukweli nikwamba... Mataifa yenye uchumi mkubwa ndo kimbilio kwa kila mtu...hivyo basi Tanzania bila misaada haiwezekani kwasasa, labda baada ya miaka 100. Na tukithubutu kukataa misaada ya wahisani, tutakua Zimbabwe au tutaishia kupigana vita na nchi yetu itakua kama Syria. Hata baba wa taifa alitegemea misaada.
 
Tanzania na demokrasia wapi na wapi? Vyama vingi hatukuvihitaji sisi na wala kamwe hatuli demokrasia sisi. Wala si ajenda ya watanzania waliowengi hapa, labda 1/100000 na ndiyo hao mnaowasikia.

..mwingine anaweza kusema tusiwe na vyama vya siasa kabisa.

..katiba yetu inaelekeza kuwa kutakuwa na mfumo wa vyama vingi tz.
 
Nirahisi kuzungumza tu, kama ulivyo sema hapo, lkn ktk utekelezaji sisi watanzania bado! Dunia ya sasa imekua kijiji kwani mataifa yote yanategemeana na ukweli nikwamba... Mataifa yenye uchumi mkubwa ndo kimbilio kwa kila mtu...hivyo basi Tanzania bila misaada haiwezekani kwasasa, labda baada ya miaka 100. Na tukithubutu kukataa misaada ya wahisani, tutakua Zimbabwe au tutaishia kupigana vita na nchi yetu itakua kama Syria. Hata baba wa taifa alitegemea misaada.

Ndivyo anavyoamini Tsvangirai,hawezi kujitawala hadi asikilize wazungu wanasema nini.Haukopeke yako.Kwa mwanaume halisi haombi kusimamiwa nyumba yake na mwingine na kutarajia mafanikio.

Wazungu wanatuhitaji kuliko tunavyowahotaji,tatizo baadhi yetu ni watoto wa mama hata wakigombana na wake zao lazima washauriwe na mama zao nini cha kufanya.

Kwa mnaodhani Pizza ni muhimu kuliko mhogo mtaendelea kuwapigia magoto ngozi nyeupe.
 
Nirahisi kuzungumza tu, kama ulivyo sema hapo, lkn ktk utekelezaji sisi watanzania bado! Dunia ya sasa imekua kijiji kwani mataifa yote yanategemeana na ukweli nikwamba... Mataifa yenye uchumi mkubwa ndo kimbilio kwa kila mtu...hivyo basi Tanzania bila misaada haiwezekani kwasasa, labda baada ya miaka 100. Na tukithubutu kukataa misaada ya wahisani, tutakua Zimbabwe au tutaishia kupigana vita na nchi yetu itakua kama Syria. Hata baba wa taifa alitegemea misaada.
Hii comment imenishangaza, samahani, wewe ni Mwanamke au Mwanaume, labda tuanzie hapo.
 
Wanataka kutunyonya coz wanajua sisi atuna viwanda vingi so tutakua soko lao na bidhaa zetu nyingi azitoweza kushindana kwenye soko la ulaya
Mzungu anamwitaji Mwafrica zaidi ya Mwafrica anavyo muhitaji Mzungu,

Malighafi yao wanayatoa africa kutengeneza biadhaa zao, sema africa hawana akili ya kukomaa na hawa wazungu koko
 
So, your fellow Kenyans are not correct when they says 529 companies in Tanzania (which are the product of Kenyan investment) belongs to Kenya. Even though those companies are registered as Tz.Co.Ltd and subject to Tanzanian corporate tax and Tanzania labour law.
So, your fellow Kenyans are not correct when they says 529 companies in Tanzania (which are the product of Kenyan investment) belongs to Kenya. Even though those companies are registered as Tz.Co.Ltd and subject to Tanzanian corporate tax and Tanzania labour law.
they are Kenya's companies because the shareholders are Kenyans and same applies to Nation Media Group shareholders are Kenyans apart from Agha khan.
 
they are Kenya's companies because the shareholders are Kenyans and same applies to Nation Media Group shareholders are Kenyans apart from Agha khan.
But Aga Khan is majority shareholder in National Media Group and him or his religious organisation isn't Kenyan. If I follow your definition above, National Media Group is not supposed to be a Kenyan company.

Now your getting twisted, most of so called "Kenyan companies in Tanzania" are listed in Dar stock exchange DSE. They're Tanzanian who own shares in those companies, KQ is listed in DSE too and if I follow your definition again, KQ is partly own by Tanzanian for the same reason that Tanzanians who hold shares of KQ.

00ccdce383432db89e63e9dbc36ff698.jpg

Dar es Salaam Stock Exchange Weekly Report: November 25th - December 2nd 2016 - TanzaniaInvest
 
Nina wasi wasi na accuracy ya hiyo habari. Checking on a few facts, Rais wa Bunge la Ulaya ni Martin Schulz na siyo Louis Michel. Pili Financial support ya sasa ni chini ya EU-ACP Cotonou Agreement inayoenda hadi mwaka 2020. Mikataba hii ni zaidi ya masuala ya kiuchumi; inagusa mahusiano ya kisiasa na kimaendeleo. Huwezi kuvunja mkataba huu kwasababu ya mkataba unaopendekezwa wa kibiashara. Labda useme kama misaada ya kifedha itakayopotezwa ni ile iliyoko ndani ya EPA.
 
East Africa Community member states could lose aid should they fail to sign the Economic Partnership Agreement (EPA), a new report has suggested.

Report: EAC members risk losing Europe aid over EPA

Lazima waikane, maana msaada wao ni kama negligible. Yani huu msaada ndo umtishie nyau atoke pangoni mwenyewe?
Miaka 5 around trion 1.2 ina maana kila mwaka ni bilion 240. hela tunayokusanya chini ya siku 3. Hiyo threat kama ndivyo, basi wameona sikitu ikabidi waikane. Harafu hua wanahaidi tu lakini pesa yenyewe hawaileti, na kama wakileta nijisehemu tu cha hicho.

Link yao wenyewe:Tanzania - International Cooperation and Development - European Commission

Tanzania is a significant beneficiary of EU development cooperation, mainly financed by the European Development Fund (EDF).

The EDF cycle of 2014-2020 amounts to €626 million. It promotes pro-poor and sustainable growth, and focuses on good governance, in particular in public finance and domestic accountability, as well as increasing energy access and security, and sustainable agriculture to improve food and nutrition security and better management of natural resources and ecosystems. It also finances actions to support civil society, business and employment.
 
Back
Top Bottom