Ulaya kwa sasa Serie A ndo ligi bora 2022/2023

Hii ya italy imetokea tu kama Coincidnce na sio kwamba ligi ni bora tayari.

Uefa wana Coefficients so far msimu huu Italy ni ligi ya Pili nyuma ya uingereza

 
This time Madrid kwa City anaweza kupata shida na ninaamini atakaye pita hapandio mwenye nafasi kubwa ya kwenda kuchukua ubingwa. Huku upande mwingine hii derby de madonina wacha wapambane ila sioni timu hata moja inaweza kufikia uwezo wa aidha City au Madrid japokua na historia zao kwenye hii michuano.

Kwa upande wangu kiujumla may be this is time for Man City
 

Msimu ukimaliza lazima Italy wataongoza tu, hivi sasa England anongoza kwa nusu Point tu.
 
Kikubwa Cha kujivunia ni kuwa Timu zao zote zilizoshiriki mashindano ya Ulaya zinafundishwa na makocha wazawa wenye vipaji ukitoa Roma ambayo inaongozwa na Jose. Wakati EPL makocha wote ni wageni, na akitokea mzawa kufikiriwa ndio tunakutana na kesi za akina Lampard na Potter
 
Msimu ukimaliza lazima Italy wataongoza tu, hivi sasa England anongoza kwa nusu Point tu.
Italy ana nafasi kubwa ndio ila sio Lazima, kama West Ham na Man city wote wanaingia fainali halafu Basel akamfunga Fiorentina na Sevila akamfunga Juve hata Milan mmoja na Roma wakipita England atakua juu,

ili Italy Apite kwa Ulazima inabidi Timu 3 ziingie fainali ama Timu za uingereza Zifungwe Nusu.
 
Kama tutatizama namba ya timu kwenye CL na mashidano mengine madogo ni sawa. Ila vinginevyo si sawa.
 
Sijawahi ipenda Serie A na Kwa kweli Sina sababu ya msingi.
Napenda sana La Liga ikifuatiwa na EPL
 
Hiyo city apambane tu arsenal kwenye kikombe Chao Cha nyumbani uefa ni ya wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…