sevilla wanabahati sana na europa, Juve walipiga mpira mwingi lakini ndo matokeo ya mpira.
Waliobakia fainali
Inter -ucl
Roma- europa lg
Fiorentina- Conference lg
Mashindano yote ulaya (uefa) kuna timu kutoka Italia inacheza fainali.