Ulaya , Marekani na Mashirika ya Fedha ya Duniani Kuna sababu ya kuendelea Kutoa Misaada na Mikopo kufuatia Serikali Kusimamisha Ruzuku Kwa CHADEMA?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Swali langu huko CCM Huwa siku zote ni Moja tu, Unatakiwa uwejinga Kwanza ndio uwe Mwanaccm ? Au MTU anakua na akili yake vizuri tu kwanza alafu akishakua Mwanaccm ndio anakua Mjinga?.

RAIS Samia kupitia Msajili Kasitisha Ruzuku Kwa Chama Cha CHADEMA , hii sio vita dhidi ya CHADEMA, ni vita dhidi ya Demokrasia Nchini Tanzania .

Ni Matusi makubwa dhidi ya Ulaya, Marekan, WB, IMF, ambao Hutoa Mikopo na Misaada ya Pesa Kwa Tanzania, sehem ya mashariti ikiwa ni Ukuaji wa Demokrasia na Haki za Binadamu.

Kwa Muktadha huuu, Ulaya , Marekan na Mashirika ya Fedha ya Dunia Kuna sababu ya kuendelea Kutoa Misaada na Mikopo ??.au waendelee kutoa Mikopo huku Demokrasia ikishambuliwa na Fedha zao kutumika kunufaisha Wana CCM??.
 
Wasiishie hapo tu Bali wampige marufuku kufika Nchi wanachama wa EU pamoja na familia yake
 
Swali langu huko CCM Huwa siku zote ni Moja tu, Unatakiwa uwejinga Kwanza ndio uwe Mwanaccm ? Au MTU anakua na akili yake vizuri tu kwanza alafu akishakua Mwanaccm ndio anakua Mjinga?.

RAIS Samia kupitia Msajili Kasitisha Ruzuku Kwa Chama Cha CHADEMA , hii sio vita dhidi ya CHADEMA, ni vita dhidi ya Demokrasia Nchini Tanzania .

Ni Matusi makubwa dhidi ya Ulaya, Marekan, WB, IMF, ambao Hutoa Mikopo na Misaada ya Pesa Kwa Tanzania, sehem ya mashariti ikiwa ni Ukuaji wa Demokrasia na Haki za Binadamu.

Kwa Muktadha huuu, Ulaya , Marekan na Mashirika ya Fedha ya Dunia Kuna sababu ya kuendelea Kutoa Misaada na Mikopo ??.au waendelee kutoa Mikopo huku Demokrasia ikishambuliwa na Fedha zao kutumika kunufaisha Wana CCM??.
Binafsi nilikuwa nasikitika sana kwanini jambo hili lilikuwa limechelewa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
"Hii sio vita dhidi ya CHADEMA, ni vita dhidi ya Demokrasia Nchini Tanzania. "
 
Miongoni mwa masharti ya world bank huwa ni utekelezaji wa demokrasia kwa sasa kila principle ya demokrasia haipo ikiwemo multipartism na free and fair election.
 
Wamulike na mali za maccm huko nnje ikiwezekana wataifishe tu!
 
Swali langu huko CCM Huwa siku zote ni Moja tu, Unatakiwa uwejinga Kwanza ndio uwe Mwanaccm ? Au MTU anakua na akili yake vizuri tu kwanza alafu akishakua Mwanaccm ndio anakua Mjinga?.

RAIS Samia kupitia Msajili Kasitisha Ruzuku Kwa Chama Cha CHADEMA , hii sio vita dhidi ya CHADEMA, ni vita dhidi ya Demokrasia Nchini Tanzania .

Ni Matusi makubwa dhidi ya Ulaya, Marekan, WB, IMF, ambao Hutoa Mikopo na Misaada ya Pesa Kwa Tanzania, sehem ya mashariti ikiwa ni Ukuaji wa Demokrasia na Haki za Binadamu.

Kwa Muktadha huuu, Ulaya , Marekan na Mashirika ya Fedha ya Dunia Kuna sababu ya kuendelea Kutoa Misaada na Mikopo ??.au waendelee kutoa Mikopo huku Demokrasia ikishambuliwa na Fedha zao kutumika kunufaisha Wana CCM??.
Sasa kuna mpumbavu km wewe? Waandikie barua hao bwana zako, ngedere tu wewe chadomo ndio kwishnet hiyo
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Back
Top Bottom