Ulaya na Marekani wanapata wapi vibali vya kuwakemea wengine?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
1714111036011.jpeg

Marekani wakitumia nguvu kuzima maandamo ya wanafunzi wa kupinga nchi yao kuwasaidia Isreal.

Kwanini sasa Marekani wanapofanya nchi nyengine wanakuwa wakali sana? Sababu wanazotoa Marekani kuzima maandamnao haya ni nyepesi kuliko nchi nyingine wanaotoa sababu za kuzuia maandamano kama haya.
 
Ogopa sana kitu kinachoitwa double standard na unafiki! Nchi nyingi za Ulaya na Marekani ndiyo zimebarikiwa.
 
View attachment 2974138

Marekani wakitumia nguvu kuzima maandamo ya wanafunzi wa kupinga nchi yao kuwasaidia Isreal.

Kwanini sasa Marekani wanapofanya nchi nyengine wanakuwa wakali sana? Sababu wanazotoa Marekani kuzima maandamnao haya ni nyepesi kuliko nchi nyingine wanaotoa sababu za kuzuia maandamano kama haya.
Unauliza vibali vipi tena mkuu, unajua miradi inayotekelezwa huko kwenu karibu 80% ni kutoka European union na US, sasa bosi wako lazima umuheshimu, akikwambia vua nguo inabidi uvuie tu
 
Back
Top Bottom