Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Duh povu linavyokutoka kutetea kitu kilicho dhahiri kabisa, wakati Waingereza wenyewe (Wazungu na Siyo maniga kama wewe) wanajua na kutambua ya kwamba nchi yao sasa hivi ni choka mbaya ktk kila hali, kuanzia Michezo, Kiuchumi, mpaka Kiutamaduni wamebakiza lugha tu na hata lugha yenyewe wengi wetu sasa hivi tunajifunza Kimarekani!Vipi umetokea kijiji gani apa tanganyika?na baada ya kuja mjini mpira unaangalizia kwenye kibanda umiza kipi?
Uingereza na hispania ndo zina timu tajiri zaidi na zenye mapato makubwa zaisi duniani,man U,chelsea,arsenal.etc na kila siku unasikia wanavunja record za bids na mishahara minono kwa wachezaji...ni vipi wanashindwa kufunika viwanja vyao ka wakiamua? Unajua serikali ya uingereza inaingiza mapato kiasi gani from football?uo uchoka mbaya we unaongelea upi?ka uingereza ni choka mbaya unahisi uholanzi wana hali gani(ajax wana kilichofunikwa)
Hii sio sehemu ya kuleta story za vijiweni sisizo na mashiko wala evidences
Ni nani asiyejua kwamba football Uingereza kwishnei? Kombe la Dunia lililopita hawakushinda mechi hata Moja, Ni lini klabu ya Uingereza imeshinda Champions league kwa mara ya mwisho? Ukiangalia FIFA ranking hata 10 bora hawamo sasa unachotetea hapo ni kitu gani? hata wao (Wazungu Waingereza na siyo maniga) wanalijua hilo kwamba nchi yao sasa hivi kwenye ramani ya Dunia ni choka mbaya isipokuwa maniga ndiyo wanapinga!