Ulaya wanashindwaje kuezeka viwanja vyao?

Vipi umetokea kijiji gani apa tanganyika?na baada ya kuja mjini mpira unaangalizia kwenye kibanda umiza kipi?

Uingereza na hispania ndo zina timu tajiri zaidi na zenye mapato makubwa zaisi duniani,man U,chelsea,arsenal.etc na kila siku unasikia wanavunja record za bids na mishahara minono kwa wachezaji...ni vipi wanashindwa kufunika viwanja vyao ka wakiamua? Unajua serikali ya uingereza inaingiza mapato kiasi gani from football?uo uchoka mbaya we unaongelea upi?ka uingereza ni choka mbaya unahisi uholanzi wana hali gani(ajax wana kilichofunikwa)

Hii sio sehemu ya kuleta story za vijiweni sisizo na mashiko wala evidences
Duh povu linavyokutoka kutetea kitu kilicho dhahiri kabisa, wakati Waingereza wenyewe (Wazungu na Siyo maniga kama wewe) wanajua na kutambua ya kwamba nchi yao sasa hivi ni choka mbaya ktk kila hali, kuanzia Michezo, Kiuchumi, mpaka Kiutamaduni wamebakiza lugha tu na hata lugha yenyewe wengi wetu sasa hivi tunajifunza Kimarekani!
Ni nani asiyejua kwamba football Uingereza kwishnei? Kombe la Dunia lililopita hawakushinda mechi hata Moja, Ni lini klabu ya Uingereza imeshinda Champions league kwa mara ya mwisho? Ukiangalia FIFA ranking hata 10 bora hawamo sasa unachotetea hapo ni kitu gani? hata wao (Wazungu Waingereza na siyo maniga) wanalijua hilo kwamba nchi yao sasa hivi kwenye ramani ya Dunia ni choka mbaya isipokuwa maniga ndiyo wanapinga!
 
Duuuuh
 
mkuu mwalimu wako ana shida sana, watu wanaongelea pesa wewe unaongolea team ranking,world cup, ucl sijui na nini. unajua world cup winner anapewa prize sh ngap? $35M ambayo haitoshi man utd kumlipa ata falcao kwa msimu mmoja $35.2m. hii inamaanisha nini?(ngoja twende taratibu maana we ni slow learner) england hata wangechukua world cup fedha ya prize isingetosha ata kumlipa mchezaji kama wayne rooney kwa msimu.

je unajua kwamba sky sport wanalipa paundi BILIONI narudia tena paundi BILIONI(mind the B) karibu 5 as t.v rights za kuonesha epl kwa misimu mi3,hawa kama kina b.t sport wanalipa karibia paundi BILIONI moja as t.v rights to epl for 3 seasons. (mpaka hapo naomba ufute kauli kwamba england wamekosa ela ya kufunika uwanja) izo ni t.v rights tu

unajua kwamba epl ni ya pili kwa kuingiza mapato kwenye ligi zote duniani? ya kwanza ni ipi? la liga?bundeslga? serie a? tulia nikupe somo,ya kwanza ni NFL ya marekani(shocked?) sasa jiulize hawa ni wa ngapi kwenye ranking?wamechukua world cup lini?wanashiriki champions league?

kumake money na ranking,wc,ucl are irrelavant things. do your homework mate
 
Duh povu linavyokutoka kutetea kitu kilicho dhahiri kabisa, wakati Waingereza wenyewe (Wazungu na Siyo maniga kama wewe) wanajua na kutambua ya kwamba nchi yao sasa hivi ni choka mbaya ktk kila hali, kuanzia Michezo, Kiuchumi, mpaka Kiutamaduni wamebakiza lugha tu na hata lugha yenyewe wengi wetu sasa hivi tunajifunza Kimarekani!
Ni nani asiyejua kwamba football Uingereza kwishnei? Kombe la Dunia lililopita hawakushinda mechi hata Moja, Ni lini klabu ya Uingereza imeshinda Champions league kwa mara ya mwisho? Ukiangalia FIFA ranking hata 10 bora hawamo sasa unachotetea hapo ni kitu gani? hata wao (Wazungu Waingereza na siyo maniga) wanalijua hilo kwamba nchi yao sasa hivi kwenye ramani ya Dunia ni choka mbaya isipokuwa maniga ndiyo wanapinga!

Ulivyokurupuka kule kwenye thread ya magari nilikupa benefit of doubt.....ila hapa umenithibitishia ile haikuwa bahati mbaya! Hio ECL Chelsea alishinda lini? Do u really believe watu wamejenga world most expensive soccer stadium hawakuwa na hela ya kuuweka roof? Unajua thamani ya ile arch juu ya uwanja wa Wembley? Wembley ni mali ya FA si serikali,labda sasa hivi utuambie FA ni choka mbaya haina hela. Kuna mtu kakusaidia hapo juu thamani ya TV rights tu za EPL.
 
mkuu mwalimu wako ana shida sana, watu wanaongelea pesa wewe unaongolea team ranking,world cup, ucl sijui na nini. unajua world cup winner anapewa prize sh ngap? $35M ambayo haitoshi man utd kumlipa ata falcao kwa msimu mmoja $35.2m. hii inamaanisha nini?(ngoja twende taratibu maana we ni slow learner) england hata wangechukua world cup fedha ya prize isingetosha ata kumlipa mchezaji kama wayne rooney kwa msimu.

je unajua kwamba sky sport wanalipa paundi BILIONI narudia tena paundi BILIONI(mind the B) karibu 5 as t.v rights za kuonesha epl kwa msimu,hawa kama kina b.t sport wanalipa karibia paundi BILIONI moja as t.v rights to epl per season. (mpaka hapo naomba ufute kauli kwamba england wamekosa ela ya kufunika uwanja) izo ni t.v rights tu

unajua kwamba epl ni ya pili kwa kuingiza mapato kwenye ligi zote duniani? ya kwanza ni ipi? la liga?bundeslga? serie a? tulia nikupe some, ya kwanza ni NFL ya marekani(shocked?) sasa jiulize hawa ni wa ngapi kwenye ranking?wamechukua world cup lini?wanashiriki champions league?

kumake money na ranking,wc,ucl are irrelavant things. do your homework mate

Hata wewe unatoka povu tu kutetea kitu ambacho kiko wazi Wazungu wenyewe hawabishi hili ni maniga tu wanatetea, Mwingereza yoyote yule (Mzungu) anajua ya kwamba nchi yao sasa hivi choka mbaya, hizo timu zote unazoziongelea zinamiliikiwa na wageni aidha Warusi maoligarchy au Waarabu wa Maghariki ya kati na hili limewezekana kwa sababu ya Siasa za Uingereza za kiliberali walizoziiga ktk Marekani ambazo zimewafilisi na zinawagharimu!

Hayo mabilioni yote uliyoyataja ni ya Maoligarchy na akina Rupert Madoch na hawalipi kodi hilo liko wazi na kila Mwingereza (Mzungu) analijua hilo!

Lakini mwisho wa siku Uingereza sasa hivi ni Choka Mbaya na hasa Soka kama nilivyosema Kombe la Dunia lililopita hawakushinda Mechi hata moja hata Marekani nchi ambayo Soka siyo mchezo wao walifika mbele zaidi, hivyo acha kutoka Povu, Wazungu wenyewe wanajua hilo na wanakubali na isitoshe wameshaanza kulifanyia kazi na baada ya muda watarudi tena hiyo ndiyo tofauti ya Wazungu na sisi Maniga, kila siku kuupinga UKWELI na ndio maana tuko masikini kuanzia kwenye Bara letu mpaka huko kwa Wazungu tunakohamia kwa maana hatutaki kuukubali Ukweli na kuufanyia kazi!
 
Hata wewe unatoka povu tu kutetea kitu ambacho kiko wazi Wazungu wenyewe hawabishi hili ni maniga tu wanatetea, Mwingereza yoyote yule (Mzungu) anajua ya kwamba nchi yao sasa hivi choka mbaya, hizo timu zote unazoziongelea zinamiliikiwa na wageni aidha Warusi maoligarchy au Waarabu wa Maghariki ya kati na hili limewezekana kwa sababu ya Siasa za Uingereza za kiliberali walizoziiga ktk Marekani ambazo zimewafilisi na zinawagharimu!

Hayo mabilioni yote uliyoyataja ni ya Maoligarchy na akina Rupert Madoch na hawalipi kodi hilo liko wazi na kila Mwingereza (Mzungu) analijua hilo!

Lakini mwisho wa siku Uingereza sasa hivi ni Choka Mbaya na hasa Soka kama nilivyosema Kombe la Dunia liliopita hawajashinda Mechi hata moja hata Marekani nchi ambayo Soka siyo mchezo wao walifika mbele zaidi, hivyo acha kutoka Povu, Wazungu wenyewe wanajua hilo na wanakubali na isitoshe wameshaanza kulifanyia kazi na baada ya muda watarudi tena hiyo ndiyo tofauti ya Wazungu na sisi Maniga, kila siku kuupinga UKWELI na ndio maana tuko masikini kuanzia kwenye Bara letu mpaka huko kwa Wazungu tunakohamia kwa maana hatutaki kuukubali Ukweli na kuufanyia kazi!

unachobisha wewe hasa ni nini? lets be straight maana mi nakupa data we unaleta stori za vijiwe vya kahawa, uingereza hawana hela ya kufunika uwanja? (hebu nijibu in a yes or no form afu tuendelee from there)
 
Ulivyokurupuka kule kwenye thread ya magari nilikupa benefit of doubt.....ila hapa umenithibitishia ile haikuwa bahati mbaya! Hio ECL Chelsea alishinda lini? Do u really believe watu wamejenga world most expensive soccer stadium hawakuwa na hela ya kuuweka roof? Unajua thamani ya ile arch juu ya uwanja wa Wembley? Wembley ni mali ya FA si serikali,labda sasa hivi utuambie FA ni choka mbaya haina hela. Kuna mtu kakusaidia hapo juu thamani ya TV rights tu za EPL.

Unajua kitu kama hii Hoja ningeipeleka kwenye Blogu za Waingereza (wazungu) na kusema kwamba Uingereza sasa hivi ni choka Mbaya wala wasingetoka povu kwani wanajua ni ukweli na ndio maana wameshaanza kulifanyia kazi hilo swala isipokuwa ninyi tu ndio mnatetea jambo ambalo liko wazi na Dunia nzima inalijua hilo na ndio maana Kombe la Dunia hawakushinda Mechi hata Moja hiyo haikuwa bahati mbaya na Waingereza (Wazungu) wanalijua hilo na wanalifanyia kazi si ajabu Kombe lijalo wakafika mbali na hiyo ndiyo tofauti kati ya Wazungu na sisi Maniga wanakubali kukosolewa hasa pale jambo linapokuwa wazi kama hili!
 
mkuu ukiacha viwanja vinne vya marekani, wembley is the most expensive stadium, and yet you are claiming wamekosa hela ya kufunika uwanja, what a joke!! ndo maana waziri mkuu kaagiza mpigwe tu.,maana hamna namna sasa!
 
unachobisha wewe hasa ni nini? lets be straight maana mi nakupa data we unaleta stori za vijiwe vya kahawa, uingereza hawana hela ya kufunika uwanja? (hebu nijibu in a yes or no form afu tuendelee from there)

Hawana Hela za kufunika Huo Uwanja uliotajwa!

Unajua kitu kama hii Hoja ningeipeleka kwenye Blogu za Waingereza (wazungu) na kusema kwamba Uingereza sasa hivi ni choka Mbaya wala wasingetoka povu kwani wanajua ni ukweli na ndio maana wameshaanza kulifanyia kazi hilo swala isipokuwa ninyi tu ndio mnatetea jambo ambalo liko wazi na Dunia nzima inalijua hilo na ndio maana Kombe la Dunia hawakushinda Mechi hata Moja hiyo haikuwa bahati mbaya na Waingereza (Wazungu) wanalijua hilo na wanalifanyia kazi si ajabu Kombe lijalo wakafika mbali na hiyo ndiyo tofauti kati ya Wazungu na sisi Maniga wanakubali kukosolewa hasa pale jambo linapokuwa wazi kama hili!

whats your point?none of what you are writing is relevant to the thread or the argument, mada hapa ni KWANINI WEMBLEY HAIFUNGI KWA JUU! not some world cup analysis, need a pair of glasses?
 
Hamna cha Uconservative wala nini ni maswala ya fwedha tu! Hao Jamaa sasa hivi ni choka mbaya!
wewe una akili mbovu kabisa humu JF. huyo jamaa kwenye avatar yako ana akili zaidi yako. kabla ku-post, fikiri kwanza!
 
Football ni mchezo unaopendwa sana kuliko yote duniani.

Stepp Blatter aliwahi kusema technology inavyoingia sana kwenye soka inaharibu ladha ya mchezo..

inasemekana happy feelings anayoisikia mchezaji anapofunga goli kwenye multibilion dollar stadium ipo sawa sawa na happy feelings anayoisikia mchezaji anapofunga goli kwenye viwanja vibovu vyenye matope na miba africa.

Watoto wanacheza peku peku, tumbo wazi, kwenye mvua, matope na mauchafu kibao but wanaenjoy sawa sawa na kina del piero wanapofunga magoli kwenye world cup multibillion stadiums.

Hata sheria ya goal line technology ilikuwa inagomewa sana mwanzoni sababu itaharibu ladha ya soka na kutofautisha sana mpira unaochezwa viwanja vya mitaani na mpira unaochezwa viwanja vikubwa majuu. ila kiubishi sana ikapitishwa.

Kuna kitabu kinaitwa A BEUTIFULL GAME KIMEANDIKWA NA TOMM WATT kimeeleza vizuri sana kuhusu soka na technology na mwandishi amewahoji kina beckham, kanu, del piero, arsenal wenger, canavaro na watoto kibao wa mitaaani africa huko siera lione wanaocheza mpira kwenye miba, mvua na matope. na wengine wanacheza football kwenye war zone, kina adebayor utotoni walikuwa wanacheza mpira huku wanasikia bunduki zinalia pembeni as vita vinaendelea nchini mwao. na walikuwa wanaenjoy tu uwanjani as walishazoea

Joseph yobo former everton superstar ( 10 years in premier league) aliwahi kusema technology inaharibu ladha ya mpira.

maana haoni tofauti kati ya raha anayoisikia akiokoa goli kwenye world cup/premier league na raha aliyokuwa anaisikia wakati akiokoa goli mtaani kwao wakati mtoto kwenye viwanja vibovu vibovu.

All in All soccer sio indoor stadium, hakuna haja ya viwanja kufunkwa juu maana hadi ufike level ya kucheza viwanja vikubwa ulaya, unakuwa umeshacheza sana kwenye mvua, jua, matope, miba, sakafu etc
 
wewe una akili mbovu kabisa humu JF. huyo jamaa kwenye avatar yako ana akili zaidi yako. kabla ku-post, fikiri kwanza!

Mwingine mtoka povu huyu, kazi ipo na bado, hahahah!
 
hadi wapi?? nenda kasome details za uwanja utajua.....nilichojibu hapa kuweka roof au kutoweka si pesa ni maamuzi tu kwasababu wembley umetengenezwa kwa pesa nyingi kuliko viwanja vyenye roof! kama wangetaka kuweka roof wasingeshindwa eti hawana pesa.

Mkuu,
Naelewa kuwa swala la wembley kufunikwa or kujifunga ni issue ya design na preference na wala sio hela,i got no problem with that....na mimi sijaargue wala sijahusisha issue ya pesa na hili...what am asking ni issue ya kuwa unajifunga partially ka ulivyosema while mleta mada kadai kuwa kocha wa totts ambae alikuwa off the pitch alikuwa analowana...nikataka kujua kutoka kwako wewe uliyecomment about hii partiallity ya kujifunga inacover hadi wapi...maana eneo la bench kikawaida huwa lina kuwa covered na roof ya kawaida tuh ya uwanja.
Wewe ndo umetoa comment ambayo nimehisi ina utata,haina haja ya wewe kunielekeza kuwa nikagoogle or something lyk that wakati we hoja inayozungumziwa umeitolea apa jukwaani...that means unadetails on it na sense ya kujibia apa ni kuwa ni kwa faida ya wachangiaji wote mkuu
 
Mwingine mtoka povu huyu, kazi ipo na bado, hahahah!

kuna laana inakuandama, inatoka kwa mamako. kamuulize alifanya kosa gani kabla kukuzaa wewe! au kama si yeye basi vizazi vyake vya awali. tembelea makaburi ya watangulizi wako uondoe hiyo laana isiendelee kwa vizazi vyako vijavyo! ni laana mbaya sana.
 
Duh! Yote haya maneno kwa kosa gani kubwa nililolifanya? Kwa kusema tu Uingereza ni Choka Mbaya? Sasa mama yangu anaingiaje Hapa? Yaani mimi kusema kwamba Uingereza hawana Hela za kujenga kiwanja ndiyo nistahili haya matusi yote? haya basi ngoja nirekebishe

,,Uingereza wana hela nyingi sana, sema hawataki tu kuweka Paa kwenye kiwanja tajwa, lakini wakiamua hata kesho wanafanya, usichezee Uingereza bwana, hawa Jamaa ni Miungu watu"

Hapo vipi? manake inaelekea nilikuaribia siku kweli pole sana nimesharekebisha, nafikiri utapata usingizi leo!
 
kuna laana inakuandama, inatoka kwa mamako. kamuulize alifanya kosa gani kabla kukuzaa wewe! au kama si yeye basi vizazi vyake vya awali. tembelea makaburi ya watangulizi wako uondoe hiyo laana isiendelee kwa vizazi vyako vijavyo! ni laana mbaya sana.

mkuu idoyo was this necessary? you are going too far.
 
Back
Top Bottom