Kuna cku nilisoma CV ya mzungu mmoja kaandika marital status single but one dog, ili akipangiwa kazi ijulikane kuwa ana mbwa wa kumlea, hivyo apewe masaa machache. Nilishangaa sana. Sijawahi ona mnyama kwenye cv ya mtu.
Vipi mkuu mbona kama una hasira?Do you think ONE MAN is Europe?
hujawahi ona?!, mbona unatuchanganya?, si wewe ndo umeleta habari ya cv inayo jumuisha mbwa?!.
Hahahahaa kuna nchi siitaji familia inaanza mama,mtoto,mbwa halafu baba wa mwisho.kwa hiyo ni mmoja wa wanafamilia huyo,na ukiwa nao zaidi ya mmoja unakinga dirishani kila mwisho wa mwezi.
Waswed wao wanakatabia kakufuga nyoka kama Warangi,sasa pata picha.
Mkuu,
Ulaya kuna nchi haina jina?
hivi haujawahi kuona wewe? gari za fire 4 zinakwenda kumuokoa paka juu ya mti amenasa?
Ndo maana wapumbavu wanadhani bora uzaliwe ulaya kuliko uzaliwe binadamu bongo
Nachojua mimi hiyo nchi ndio yenye the highest living standard in the world kwa mujibu wa UNDP...Hahahahaa kuna nchi siitaji familia inaanza mama,mtoto,mbwa halafu baba wa mwisho.kwa hiyo ni mmoja wa wanafamilia huyo,na ukiwa nao zaidi ya mmoja unakinga dirishani kila mwisho wa mwezi.
Hata mzungu anipende vipi sioi wala siwi bf wake, nilishaona mzungu demu anapiga denda mbwa wake, sasa huo mdomo ndio alete kwangu!!
Nitabakia napenda mwanamke mwafrica basi. Mwafrika ni mwafrica tu hata wa huko marekani hatujaona wakipigana denda barabarani hovyo kama wazungu au kutembea muda wote wameshikana mikono. Okiona ni wachache sana hata hivyo hawafikiii upuuzi wa wazungu.
hivi haujawahi kuona wewe? gari za fire 4 zinakwenda kumuokoa paka juu ya mti amenasa?
Hii imenikumbusha mbali
Mwaka juzi nikiwa kisiwani Mafia nilikosa nafasi ya ndege kurejea Dar baada ya kuambiwa siti zimejaa na ya mwisho ni ya mbwa wa mama mmoja mzungu anasafiri nae
nililala mafia tena bila kupenda