ulaya

ulaya

Kuna cku nilisoma CV ya mzungu mmoja kaandika marital status single but one dog, ili akipangiwa kazi ijulikane kuwa ana mbwa wa kumlea, hivyo apewe masaa machache. Nilishangaa sana. Sijawahi ona mnyama kwenye cv ya mtu.

hujawahi ona?!, mbona unatuchanganya?, si wewe ndo umeleta habari ya cv inayo jumuisha mbwa?!.
 
Haki za wanyama lazima zizingatiwe, ila waafrika tunazidharau sana. Sema hii ya kulala na mijibwa, kuiachia kuramba ramba watoto wadogo na vyombo majumbani, kunawaletea matatizo sana.

Kuna kesi nyingi sana zimeripotiwa kuhusiana na mbwa kuwatafuna watoto na hata watu wazima.

Kuna mama mmoja nchini UK anaitwa Mary Bale, mwaka 2010, alishitakiwa kwa kumtupa paka kwenye Bin...! (The 45-year-old will appear before Coventry Magistrates Court on October 19 on charges of causing unnecessary suffering to a cat and of not providing the animal with a suitable environment, under the UK's Animal Welfare Act 2006.)

Kituko kilitokea kwenye jimbo moja nchini Marekani (Boston), Mama mmoja alimsajiri kwenye census ya kuhesabiwa paka wake aitwae Sal, kama mmoja wa familia kwenye category ya wanyama (Pets), ajabu ni kwamba huyo paka naye kajumuishwa na mahakama kama shahidi kwenye mashtaka, japo kuwa wamefahamishwa kuwa huyo shahidi Paka, haongei Kiinglish ila anaongea lugha ya kipaka yaani Catish languange (meow). Lakini mahakama imesisitiza lazima huyo paka hawepo siku ya mahakama.

Cat is ordered to appear for Jury duty in Boston

Cat ordered to do jury service in Boston
 
hujawahi ona?!, mbona unatuchanganya?, si wewe ndo umeleta habari ya cv inayo jumuisha mbwa?!.

Nilimaanisha hiyo CV ya mzungu kuwa single ila ana mbwa sikuwahi ona popote ndo ilikuwa mara ya kwanza kwa mzungu huyu. Ila kwa sasa ni kawaida na ukimpanga kama hana wa kukaa na mbwa au kumpeleka animal house anaahirisha.
 
ha ha ha umenikumbusha juzi kapanda bibi kwenye treni kabeba tray za kubebea watoto wadogo anakisukuma kuchungulia kawaweka mbwa wawili daaah nikajisemea hii kali,ila ni vizuri tujifunze utamaduni wa kuheshimu wanyama maana bongoland mtoto akikosa tusi la kwanza mbwa wee,sijui paka wee
 
Hahahahaa kuna nchi siitaji familia inaanza mama,mtoto,mbwa halafu baba wa mwisho.kwa hiyo ni mmoja wa wanafamilia huyo,na ukiwa nao zaidi ya mmoja unakinga dirishani kila mwisho wa mwezi.

Waswed wao wanakatabia kakufuga nyoka kama Warangi,sasa pata picha.

Mkuu,
Ulaya kuna nchi haina jina?
 
Hahahahaa kuna nchi siitaji familia inaanza mama,mtoto,mbwa halafu baba wa mwisho.kwa hiyo ni mmoja wa wanafamilia huyo,na ukiwa nao zaidi ya mmoja unakinga dirishani kila mwisho wa mwezi.
Nachojua mimi hiyo nchi ndio yenye the highest living standard in the world kwa mujibu wa UNDP...
 
Hata mzungu anipende vipi sioi wala siwi bf wake, nilishaona mzungu demu anapiga denda mbwa wake, sasa huo mdomo ndio alete kwangu!!

Nitabakia napenda mwanamke mwafrica basi. Mwafrika ni mwafrica tu hata wa huko marekani hatujaona wakipigana denda barabarani hovyo kama wazungu au kutembea muda wote wameshikana mikono. Okiona ni wachache sana hata hivyo hawafikiii upuuzi wa wazungu.

Hivi ni wanawake wa kiafrika hawataki kutembea wakiwa wameshikana mikono au basi tuu wanaume wa kiafrika hawataki huyo mtindo?
 
Hii imenikumbusha mbali
Mwaka juzi nikiwa kisiwani Mafia nilikosa nafasi ya ndege kurejea Dar baada ya kuambiwa siti zimejaa na ya mwisho ni ya mbwa wa mama mmoja mzungu anasafiri nae
nililala mafia tena bila kupenda
 
Hii imenikumbusha mbali
Mwaka juzi nikiwa kisiwani Mafia nilikosa nafasi ya ndege kurejea Dar baada ya kuambiwa siti zimejaa na ya mwisho ni ya mbwa wa mama mmoja mzungu anasafiri nae
nililala mafia tena bila kupenda

Pesa mbele
 
Back
Top Bottom