Ulcers ya macho

Ulcers ya macho

Nkonyaboy

New Member
Joined
Aug 9, 2020
Posts
4
Reaction score
0
Kaka angu amekuwa mgonjwa wa ulcers ya macho takribani miez 10 now, ametmuia dawa za kila aina hospital lakini tatizo limezid kuwa baya zaid macho yamepoteza kronea na sas hawez kuona tena na madaktar wameconfirm hivo.

Kuna alternative gani naweza solve tatizo la kaka msaada please kwa anaye jua
 
Kuna hospital ya waturuki nasikia ipo jirani na kairuki wapo vizuri watafute
 
Back
Top Bottom