Ule mgao wa kilo mbili za korosho ulishafanyika?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Tulitaarifiwa kuwa, serikali imeamua kununua korosho kutoka kwa wakulima kwa bei ya Tsh 3,300/=. Soko tulihakikishiwa kuwa zitatolewa kama vitafunwa kwenye ndege. Pia raia wote tutauziwa kilo mbili mbili si zaidi ya hapo.

Tangu tamko hili litoke , sijasikia huu mgao wa kilo mbili mbili. Imawezekana umenipita. Foleni iko wapi ya kilo mbili za korosho?
 
Wakulima wametuuzia korosho isiyo na ubora...mbaya zaidi tumewalipa.....ngoja waturudishie ela yetu kwanza
 
Wakulima wametuuzia korosho isiyo na ubora...mbaya zaidi tumewalipa.....ngoja waturudishie ela yetu kwanza
Wakulima wenyewe wa Ntwala! Mjomba subiri.
 
Hahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ukipewa hizo kg mbili, zitakusaidia nini zaidi ya kukuongezea nyg mwisho wa siku uliwe bure, tena vichakani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…