Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Tulitaarifiwa kuwa, serikali imeamua kununua korosho kutoka kwa wakulima kwa bei ya Tsh 3,300/=. Soko tulihakikishiwa kuwa zitatolewa kama vitafunwa kwenye ndege. Pia raia wote tutauziwa kilo mbili mbili si zaidi ya hapo.
Tangu tamko hili litoke , sijasikia huu mgao wa kilo mbili mbili. Imawezekana umenipita. Foleni iko wapi ya kilo mbili za korosho?
Tangu tamko hili litoke , sijasikia huu mgao wa kilo mbili mbili. Imawezekana umenipita. Foleni iko wapi ya kilo mbili za korosho?