Ule mwiba kwenye tango pori, kumbe ni mchongoma! 🤔 Ni aibuu ya mwaka!

Ule mwiba kwenye tango pori, kumbe ni mchongoma! 🤔 Ni aibuu ya mwaka!

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Hatimaye jana katika kupenya penya huku na huko katika jiji la dar, nikapata kisa cha ule mwiba kwenye lile tango pori.

Iko hivii yule mkulima aliyepanda matango yake na hatimaye kugeuka matango pori, hakuwa muumini sana wa tiba zetu za mimea. Akaamua kuwalisha wana wa kinondoni na sinza matango pori kwa madai ni tiba mmbadala!

Duh sasa cmnakumbuka yale matango yaliingia miba? Ebwana eeh 😂 kumbe ni michongoma! Ndio michongoma na wadau wa kinondoni na sinza wameyala sana vijana kwa wazee.

Sasa habari ya kushtua ni kijana mmoja katika harakati za kutaka kukwea bombadia ili apae majuu, ilitakiwa acheki afya kama ipo poa duh asalalee! 😂😂 Wamegundua ana mchongoma mwilini, kaghairisha safari, sasa hata yule top top wa madaleni alishakula tango pori.

Najua hujui na nakujuza kuwa makini na hayo matango pori. Watu wanapanga kufungua mashtaka huko, kwa kulishwa matango pori. Tutaisha jamanii!
 
Hatimaye jana katika kupenya penya huku na huko katika jiji la dar, nikapata kisa cha ule mwiba kwenye lile tango pori. Iko hivii yule mkulima aliyepanda matango yake na hatimaye kugeuka matango pori, hakuwa muumini sana wa tiba zetu za mimea. Akaamua kuwalisha wana wa kinondoni na sinza matango pori kwa madai ni tiba mmbadala! Duh sasa cmnakumbuka yale matango yaliingia miba? Ebwana eeh 😂 kumbe ni michongoma! Ndio michongoma na wadau wa kinondoni na sinza wameyala sana vijana kwa wazee. Sasa habari ya kushtua ni kijana mmoja katika harakati za kutaka kukwea bombadia ili apae majuu, ilitakiwa acheki afya kama ipo poa duh asalalee! 😂😂 Wamegundua ana mchongoma mwilini, kaghairisha safari, sasa hata yule top top wa madaleni alishakula tango pori. Najua hujui na nakujuza kuwa makini na hayo matango pori. Watu wanapanga kufungua mashtaka huko, kwa kulishwa matango pori. Tutaisha jamanii!
Sasa kama wa Madaleni alishakula hilo tango pori, si ni hatari sana? Maana hiyo miba yake ataisambaza sehemu mbali mbali, itaota, kumea na kukua.
 
Back
Top Bottom