Ule mwiba kwenye tango pori, kumbe ni mchongoma! šŸ¤” Ni aibuu ya mwaka!

Mimi Huwa nawashangaaa .

Hivi kama watu wanavujisha Video za mastaaa, na tunaona Tanzania nzima.

Bado mtu unakuja JF na visa vyako vya mafumbo yasoeleweka.

Kwahiyo hata Mimi niseme "Ebwanaaa yule Chui kazaaa Vijeba kaishia kuvilisha majani ,na majan yamekauka Dar nzima unaambiwa moto wake Si wa kitoto"

Hivi mtanielewa ???.

Mmiwa mna habari , hamtaki kutujuza, Kaeni nazo ...Alaaah!!!
 
Kbsaaa mkuu wakae na hbr zao mtu unakuwa mmbeya na hujui kutoa umbeya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka mda huu amekosekana kweli wa kuzifungua hizo code
 
Hata mm nawashangas Sana siyo kweli nilikula jimam limoja HV nikaambiwa analo. Na kwel alikuwa nalo ingawa mm ckuupata kbsa na leo Ni miak mminne toka. Litokee Jambo Hilo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Watu wengi bado hatuna elimu sahihi kuhusu maambukizi ya UKIMWI
 
Back
Top Bottom