Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
kutumia ubongo kwa upupu kama huu ni matumizi mabaya ya ubongo, hili pia mlifanyie kazi.Jaribu kutumia medulla oblongata!
Hata mm nawashangas Sana siyo kweli nilikula jimam limoja HV nikaambiwa analo. Na kwel alikuwa nalo ingawa mm ckuupata kbsa na leo Ni miak mminne toka. Litokee Jambo HiloHivi ukishatembea na mtu mwenye ukimwi ndio tayari na wewe umeshapata? Naona watu tunachanganya sana hapa
Kbsaaa mkuu wakae na hbr zao mtu unakuwa mmbeya na hujui kutoa umbeyaMimi Huwa nawashangaaa .
Hivi kama watu wanavujisha Video za mastaaa, na tunaona Tanzania nzima.
Bado mtu unakuja JF na visa vyako vya mafumbo yasoeleweka.
Kwahiyo hata Mimi niseme "Ebwanaaa yule Chui kazaaa Vijeba kaishia kuvilisha majani ,na majan yamekauka Dar nzima unaambiwa moto wake Si wa kitoto"
Hivi mtanielewa ???.
Mmiwa mna habari , hamtaki kutujuza, Kaeni nazo ...Alaaah!!!
Ni huzuni kwelikweli (kwa sauti ya yule jamaa)Yani watu wanaficha hela wewe unafichaficha umbea π
Si tungeisha?Hivi ukishatembea na mtu mwenye ukimwi ndio tayari na wewe umeshapata? Naona watu tunachanganya sana hapa
Watu wengi bado hatuna elimu sahihi kuhusu maambukizi ya UKIMWIHata mm nawashangas Sana siyo kweli nilikula jimam limoja HV nikaambiwa analo. Na kwel alikuwa nalo ingawa mm ckuupata kbsa na leo Ni miak mminne toka. Litokee Jambo Hilo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ingekuwa hivyo kwa kweli tungekwisha kabisaSi tungeisha?