Ule Ndio Uwezo Wa Cr7

cr7 aliondoka Madrid ikiwa ndo the best team ikiwemo kuchukua uefa mfululizo. Atoke akakutane na challenge mpya ndio tutamwelewa tofaut na ivo atabak kutembelea nyayo za the beast' cr7

Wana msongo mawazo hao,hawaelewi kabisa,tunawaelimisha na watanyooka tu
 
Tofauti na barca messi amechezea timu gani ya ligi?

Ubora wa mwanajeshi unapimwa kwa wingi wa vita alivyopigana na kushinda...

Huwezi mlinganisha messi ambaye hajawahi toka nje ya barca na ronaldo ambaye amecheza ligi karibu nne!!
 
Ligi gani bora zaidi Ya la liga ? Jamani tuangalie uwezo binafsi
Sasa muangalieni tena
Cr7 wenu wiki hii tena atafanya nini ? Na Messi atafanya nini uwanjani halafu tukutane tena monday

Messi kila cku yeye ni bora, hata asipofunga ata-assit. Mungu amembariki sana huyu mjamaa. Hapa nilipo nakimbilia kwenye utu uzima, na tokea nifuatilie soka, na wale waliocheza miaka ya 70 na 80 ambao sikupata bahati ya kuwaona live ila nimewatazama Katika YOU TUBE. Kiukweli hakuna aliyemfikia MESSI mpaka sasa. kwa mbaaali Diego Maradona.
 
Tofauti na barca messi amechezea timu gani ya ligi?

Ubora wa mwanajeshi unapimwa kwa wingi wa vita alivyopigana na kushinda...

Huwezi mlinganisha messi ambaye hajawahi toka nje ya barca na ronaldo ambaye amecheza ligi karibu nne!!

Atoke La liga ligi iliyobora duniani then aende wp? Vitu vingine vya kufikiria mkuu sio mnaongea tu.
 
Ayo Maneno kawaambie Wa Argentina kwamba Messi ni zaidi ya Maradona uone watakavyo kujibu.kwao ilo ni tusi wanakwambia Argentina bado haijapata wa kumpiku Diego.
 
Haswaa, hao ndio wa size yake.
Mkuu id yako imenikumbusha game lenyewe la desert storm. Nimecheza kote mpaka mwisho ila nikashindwa kuingia kwenye ngome ile kumtoa general aziz
Nilitumia sila zote lakini hakuna namna ya kuingia kwenye ile kasri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…