Ule Ndio Uwezo Wa Cr7

Ule Ndio Uwezo Wa Cr7

Hivi kutolewa dakika ya 70 kwani tatizo? hivi nyinyi wengine huu mchezo wa mpira mnauchukulia vipi? mchezaji yoyote anaemuona hatolewi uwanjani ana matatizo yake binafsi tu. CR7 ukitaka kumueka bench lazima kocha uandae risala na mabembelezo mpaka aridhike hayo ndio moja yaliomshinda zidane madrid. Yeye ndio kocha lakini kuna wachezaji akiwaeka bench au akiwafanya sub wanakwenda kwa Perez kulalamika. (Ronaldo na Bale). na Allegri hawezi kumtoa wala kumuweka nje Ronaldo.

Haya sikama yeye ndie hafanyi vibaya kwenye mchezo ila ndio hivo tu tena. Hivi mechi ya Jana ya Torino au ya Young Boys kun akipi alichikuwa akikifanya uwanjani Ronaldo cha kumfanya amalize dakika 90? Yeye ndie alikua ndie weakest link kwenye timu kule mbele.
Messi alishawahi kugoma kutoka uwanjani unakumbuka hili?? tetesi za kupanga kikosi cha Barca pia ushawahi kuzisikia

hiyo ndiyo kadhia ya wachezaji wakubwa
 
Ndugu kikubwa uwezo !!! Wewe hapo shughuli unazofanya na umaahiri wako hapo ulipo Je utapungua ukihamia Mwanza ? Au Arusha ? Au Lindi ?
Ohoooo,ndio aende sasa ili na sisi tusiomkubali tuamini na tumkubali,hatujawahi kumuona akiperform vile vile nje ya mazingira aliyoyazoea,huku kulazimishana nimkubali wakati sijawahi kumuona huko kwingineko kamwe siwezi kumkubali mkuu.

Kama anajiamini anaweza kufanya vizuri nje ya barca amove basi ili tumpe uchezaji bora wa dunia ambao haujawahi kutokea tokea Dunia iumbwe mkuu
 
CR7 ata asipofunga goli miezi sita uborawake hauwezi fananishwa na mchezaji yeyote kwasasa kwakua rekodi zake katika soka itachukua miaka mingi kuvunjwa na wachezaji waliopo. Ni kama alivyokua bondia Mike Tyson, watapita mabondia wengi ila alichofanya Tyson kwenye ngumi na namna alivyokua aki wakabili wapinzaniwake itachukua miaka mingi kupata mtu kama Tyson au Jordani kwenye Kikapu.
U are so smart mkuu,umemjibu vizuri sana
 
Kwa walioangalia game Ya Juventus Na Young Boys Juzi ambapo kama kawaida Cr7 Ameanza mwanzo mwisho
Cha kuuliza hapa watu wanapata wapi uthubutu wa kulinganisha uwezo wa Messi Na Christian Ronaldo ?
Mechi ile Juve walitanguliwa kwa goli 2-0 kwa kipindi kirefu cha mchezo na Cr7akikosa nafasi za wazi yeye na kipa takriban mara 4 au 5...hadi dakika za 70+ kocha alipomuingiza Dybala ambaye ndiye aliyekuja kubadili matokeo na game kuisha kwa sare ya 2-2.
Hakika kuna tofauti kubwa kati ya Messi Na Ronaldo.
Mbona andunje game kibao anapotea
 
Ndugu kikubwa uwezo !!! Wewe hapo shughuli unazofanya na umaahiri wako hapo ulipo Je utapungua ukihamia Mwanza ? Au Arusha ? Au Lindi ?

He!

Hilo nalo ni la kuuliza mkuu?

Kama mazingira yatafanana kwa kila kitu zitafanikiwa na kinyume chake hazitafanikiwa
 
Screenshot_20181217-215907_Instagram.jpg

Kocha wa Arsenal 👆👆👆👆 cha ajabu mbongo atampinga hata huyu, na ndiye anaujuwa mpira kuliko MBONGO mwenyewe 😀😀😀😀

Screenshot_20181217-215828_Instagram.jpg
Screenshot_20181217-215710_Instagram.jpg
Screenshot_20181217-215635_Instagram.jpg
 
Messi alishawahi kugoma kutoka uwanjani unakumbuka hili?? tetesi za kupanga kikosi cha Barca pia ushawahi kuzisikia

hiyo ndiyo kadhia ya wachezaji wakubwa

Sasa kuna jamaa zetu wengine humu hawafahamu kabisa hayo.
 
Ivi cr7 kuna kipi ambacho hajakifanya kweny soka ili kuprove wrong madai kama yako!!?? Huu mda wake kula pensheni. Huyo messi mwambieni ahame kwanza barca ndo tumlinganishe na 'the beast'
 
King Messi atawasababishia CANCER mwisho....wanaojuwa mpira wanamtambua huyu ndiye the king haswaa, Sasa wewe mbongo wa tandale sijui usukumani huko unaefatilia yanga na simba utatueleza nini!!! Watanzania bana, wanafurahisha sana.
 
Ohoooo,ndio aende sasa ili na sisi tusiomkubali tuamini na tumkubali,hatujawahi kumuona akiperform vile vile nje ya mazingira aliyoyazoea,huku kulazimishana nimkubali wakati sijawahi kumuona huko kwingineko kamwe siwezi kumkubali mkuu.

Kama anajiamini anaweza kufanya vizuri nje ya barca amove basi ili tumpe uchezaji bora wa dunia ambao haujawahi kutokea tokea Dunia iumbwe mkuu
Hata akienda nyie hamkosagi La kusema bado maana hamkuanzia swala LA kuhama timu
 
Hata akienda nyie hamkosagi La kusema bado maana hamkuanzia swala LA kuhama timu

Tumeshawazoea hawa watu...hawakosagi visababu kamanda 😀😀 wao wanaleta uyanga na usimba kwenye vitu serious! Acha magufuli aendelee kutunyoosha kwakweli 😀😀😀
 
Hata akienda nyie hamkosagi La kusema bado maana hamkuanzia swala LA kuhama timu

Acheni chuya zijitenge na mchele nyie mashabiki wa messi msio na hoja.

CR7 kachukua vikombe vyote unavyovijua wewe akiwa na Manchester na Madrid,hakuacha hata kimoja.

Utamfananisha na aliyechukua vikombe vyote huyo messi wenu akiwa kwenye timu moja tu?

CR7 ametuthibitishia kuwa yeye popote pale ni bora na sio katika timu moja tu

Acheni kumfananisha CR7 na vitu vya kijinga jamani
 
Back
Top Bottom