Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
Messi alishawahi kugoma kutoka uwanjani unakumbuka hili?? tetesi za kupanga kikosi cha Barca pia ushawahi kuzisikiaHivi kutolewa dakika ya 70 kwani tatizo? hivi nyinyi wengine huu mchezo wa mpira mnauchukulia vipi? mchezaji yoyote anaemuona hatolewi uwanjani ana matatizo yake binafsi tu. CR7 ukitaka kumueka bench lazima kocha uandae risala na mabembelezo mpaka aridhike hayo ndio moja yaliomshinda zidane madrid. Yeye ndio kocha lakini kuna wachezaji akiwaeka bench au akiwafanya sub wanakwenda kwa Perez kulalamika. (Ronaldo na Bale). na Allegri hawezi kumtoa wala kumuweka nje Ronaldo.
Haya sikama yeye ndie hafanyi vibaya kwenye mchezo ila ndio hivo tu tena. Hivi mechi ya Jana ya Torino au ya Young Boys kun akipi alichikuwa akikifanya uwanjani Ronaldo cha kumfanya amalize dakika 90? Yeye ndie alikua ndie weakest link kwenye timu kule mbele.
hiyo ndiyo kadhia ya wachezaji wakubwa