mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Nchi ya Tanzania kwa sasa haina bunge, wala mahakama, Bali tuna Rais ambaye ndio Mungu wa Tanzania na Ikulu yake pendwa. Ufisadi uliofanywa kipindi cha pili cha awamu ya tano inawezekana na Mkubwa kuliko fisadi zote zilizowahi kuibuliwa na CCM wenyewe au Chadema hususani Wabunge.
Mpina alijaribu kuibua ufisadi, wakamfukuza, laiti mabunge yaliyopita yangekuwa kama hili bunge la Samia basi Watanzania tusingejua chochote kuhusu ufisadi wa EPA, Richmond, escrow.
sasa hivi taasisi zote kubwa za manunuzi wameweka makada ambao ndani yao tena ni usalama wa Taifa. Ufisadi wa sasa ni mkubwa na vyombo bya habari, wabunge wamezibwa mdomo kuibua.
Hii nchi inapoelekea ni kubaya na hakuna wa kuiokoa, labda Chadema waungane na kagame na Museven wamtoe samia kwa nguvu.
Bunge la kuibua ufisadi halupo tena