Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,347
- 8,254
PoleJamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.
Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa husababishwa na nini na kama ni ugonjwa wa ngozi kwanini usitapakae na sehemu zingine za mwili nakubakia eneo hilo tu.
Je, nini tiba yake maana nimetumia dawa tofauti ikiwamo na zile za tube sasa kama wataalam naomba kujua hii hali ipo kwangu tu ama na kwa wengine pia. Naomba kujua nini tiba maana hauwashi wala kufanya kitu kingine isipokua napokagua mazingira najikuta napakuna na unga unatoka.
Msaada wenu tafadhari.
Hakuna unga broJamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.
Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa husababishwa na nini na kama ni ugonjwa wa ngozi kwanini usitapakae na sehemu zingine za mwili nakubakia eneo hilo tu.
Je, nini tiba yake maana nimetumia dawa tofauti ikiwamo na zile za tube sasa kama wataalam naomba kujua hii hali ipo kwangu tu ama na kwa wengine pia. Naomba kujua nini tiba maana hauwashi wala kufanya kitu kingine isipokua napokagua mazingira najikuta napakuna na unga unatoka.
Msaada wenu tafadhari.
Fungus vaa be boxer za cotton sio mpira yaani polyester na zisikubane pia zingatia usafi nyoa minywele ya huko mara kwa mara sio ikae mpaka ijisokote nawa vizuri ukinya hata kukojoa kuwa na tissue ujikaushe pakaa cream za antifungal utapata pharmacy pia pakaa mafuta ya Nazi ukitoka kuoga jikaushe upakae fua taulo mara kwa mara.Jamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.
Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa husababishwa na nini na kama ni ugonjwa wa ngozi kwanini usitapakae na sehemu zingine za mwili nakubakia eneo hilo tu.
Je, nini tiba yake maana nimetumia dawa tofauti ikiwamo na zile za tube sasa kama wataalam naomba kujua hii hali ipo kwangu tu ama na kwa wengine pia. Naomba kujua nini tiba maana hauwashi wala kufanya kitu kingine isipokua napokagua mazingira najikuta napakuna na unga unatoka.
Msaada wenu tafadhari.
Yaani kwanza ata iyo boxer yenyewe sipendiFungus vaa be boxer za cotton sio mpira yaani polyester na zisikubane pia zingatia usafi nyoa minywele ya huko mara kwa mara sio ikae mpaka ijisokote nawa vizuri ukinya hata kukojoa kuwa na tissue ujikaushe pakaa cream za antifungal utapata pharmacy pia pakaa mafuta ya Nazi ukitoka kuoga jikaushe upakae fua taulo mara kwa mara.
Nini mbaya
🤮Nini mbaya
Aisee watu ni wasiri sana. Kumbe kuna watu huwa mnatoa sembe kwenye uvungu wa matako halafu hamtuambii?Jamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.
Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa husababishwa na nini na kama ni ugonjwa wa ngozi kwanini usitapakae na sehemu zingine za mwili nakubakia eneo hilo tu.
Je, nini tiba yake maana nimetumia dawa tofauti ikiwamo na zile za tube sasa kama wataalam naomba kujua hii hali ipo kwangu tu ama na kwa wengine pia. Naomba kujua nini tiba maana hauwashi wala kufanya kitu kingine isipokua napokagua mazingira najikuta napakuna na unga unatoka.
Msaada wenu tafadhari.
Haina harufu chiefHakuna unga bro
Huo ni uchafu na fangasi
Na lazima utakua unanuka aisee
Muone dokta Haraka
Asante chief ntafanya ivoPole
Tafuta sonaderm!!dawa ya fungus sugu!!
Kuoga mara mbili kwa siku yaani asbh na jioni kuhusu nguo za kubana huwa sizipendelei pia napenda mwili upate nafasi zaidJoto+ jasho+ nguo za kubana na nzito + mavuzi marefu + uchafu + kutokuoga = fangasi sugu na muwasho.
Mmmh kujifuta kupaka mafuta vyote nafanya mbn chiefHiyo huitwa PUMBU JERO(jina la kitaani),inatokea San hasa kama unaoga maji ya chumvi au mda mwingine ambayo hata siyo ya chumvi?
Hii hutokea maeneo hayo kwasababu ya kutokujifuta vinzur baada ya kuoga maeneo hayo,,.
Kumbuka ktk KORODANI wakati unaoga Ile ngozi yake Huwa inajikunja hivyo usipofuta vinzuri Huwa inabaki na unyevunyevu Kwa mda fulan hali hiyo hupelekea kuharibu ngozi especially maji ya chumvi
Tiba yake uwe unajipaka mafuta ngozi yenyewe itaanza kulainika pia uwe unajifuta vinzur baada ya kuoga.
Hii imetutesa San enzi hizo tunasoma shule hasa za boarding