Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

Ule unga unaotoka kwenye ngozi ya korodani husababishwa na nini na tiba yake ni nini?

Jamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.

Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa husababishwa na nini na kama ni ugonjwa wa ngozi kwanini usitapakae na sehemu zingine za mwili nakubakia eneo hilo tu.

Je, nini tiba yake maana nimetumia dawa tofauti ikiwamo na zile za tube sasa kama wataalam naomba kujua hii hali ipo kwangu tu ama na kwa wengine pia. Naomba kujua nini tiba maana hauwashi wala kufanya kitu kingine isipokua napokagua mazingira najikuta napakuna na unga unatoka.

Msaada wenu tafadhari.
Kaka umetembea na mwanamke mwenye ugonjwa wa fungus (candida albicans), dawa yake ni antifungal na usirudi tena kwa yule mwanamke hadi wewe na yeye mjitibie wote mpone. Na kama kuna wanawake wengine umetembea nao ukiwa na hali hiyo pia waambie waende wakatibiwe pia kabla hujatembea nao tena.
 
Fungus vaa be boxer za cotton sio mpira yaani polyester na zisikubane pia zingatia usafi nyoa minywele ya huko mara kwa mara sio ikae mpaka ijisokote nawa vizuri ukinya hata kukojoa kuwa na tissue ujikaushe pakaa cream za antifungal utapata pharmacy pia pakaa mafuta ya Nazi ukitoka kuoga jikaushe upakae fua taulo mara kwa mara.

Mwanaume mchafu kwangu hapana mwanaume nikiona muonekano wake kiatu mkanda wallet boxer perfume saa najua msafi,jamaa utakuwa unanuka sana makende yake dadek Dem wako kazi anayo [emoji23]utakuta unapenda sana unyonywe kende zako zilambwe wanaume nao wananuka ukute vuzi jasho fungus uchafu hafui boxer ni uvundo wa mzoga.
na wakat wa kumaliza kukojoa tutumie tissue???????
 
Jock itch
Also called: tinea cruris
 

Attachments

  • Screenshot_20230727-122945.jpg
    Screenshot_20230727-122945.jpg
    151.3 KB · Views: 32
Je, nini tiba yake maana nimetumia dawa tofauti ikiwamo na zile za tube sasa kama wataalam naomba kujua hii hali ipo kwangu tu ama na kwa wengine pia. Naomba kujua nini tiba maana hauwashi wala kufanya kitu kingine isipokua napokagua mazingira najikuta napakuna na unga unatoka.
1. Sabuni unayoogea
2. Mafuta au Lotion unayoyapaka
3. Boxer unazovaa
4. Usafi wa mwili unaoga Mara ngapi kwa siku?
5. Usafi wa boxer unazovaa hua unavaa Mara ngapi kabla ya kufua?

Kaitafute kwenye hayo Mambo hapo
 
Nyoa vuzi ukioga kukojoa kunya jikaushe hata na tissue tembea nazo mfukoni pakaa Vaseline yako au Coconut oil kuzuia moisturizer (unyevunyevu)kukaa kwenye ngozi maana fungus (candida)wanapenda kwenye maji maji unyevunyevu vaa boxer pana na cotton sababu cotton inaingiza hewa tofauti na mpira polyester wekeza kwenye goog quality boxer achana na boxer za majani ya bangi na wanaume tmk 😁
 
Hiyo huitwa PUMBU JERO(jina la kitaani),inatokea San hasa kama unaoga maji ya chumvi au mda mwingine ambayo hata siyo ya chumvi?

Hii hutokea maeneo hayo kwasababu ya kutokujifuta vinzur baada ya kuoga maeneo hayo,,.

Kumbuka ktk KORODANI wakati unaoga Ile ngozi yake Huwa inajikunja hivyo usipofuta vinzuri Huwa inabaki na unyevunyevu Kwa mda fulan hali hiyo hupelekea kuharibu ngozi especially maji ya chumvi

Tiba yake uwe unajipaka mafuta ngozi yenyewe itaanza kulainika pia uwe unajifuta vinzur baada ya kuoga.

Hii imetutesa San enzi hizo tunasoma shule hasa za boarding
Mkuu umenikumbusha mbali sana hapo kwenye pumbu jeroo.
aloooooo usiombe hii ikupate
 
Back
Top Bottom