TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Nime angalia ile clip ya bwana Tarimo anavyo buruzana na wale vibaka kuna watu wanapita tu kama hawaoni na isitoshe gari iliyotumiaka ni binafsi na wanaojifanya polisi hawana sare na wakina mama wanaangalia tu badala yakupiga kelele,ili hali siku hizi kuna utekaji,kweli huu ndio utanzania wetu?